GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Kwa Fitna za Mpira wa Tanzania ( Soka la Bongo ) hili linawezekana tena kwa 100% zote.Labda ye ndo kamwambia apaishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Fitna za Mpira wa Tanzania ( Soka la Bongo ) hili linawezekana tena kwa 100% zote.Labda ye ndo kamwambia apaishe.
Kama wenye akili ndio mpo hivyo bora nizikose tu hizo akiliHuna Akili na hutokuja kuwa nazo pia.
taahira unaliita jasusi!!! Acha kushusha hadhi ya jasusi mkuuJasusi la soka[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]nakukubali sana mkuu
Mbumbumbuu akili zao wanazijua wenyewe, muda si mrefu watapigana makondeKibu Denis anapaisha mpira yupo peke yake analaumiwa Mangungu
Murtaza kama. Mwenyekiti anahusika moja Kwa moja kwani hajui majukumu yake😆😆😆
Huu Uzi kama umeurudia hivi sema msimu huu mtatafuta sana sababu lakini uhalisia ni kua timu ya Simba ni mbovu.
Je Murtaza ndo anasababisha kocha wa viungo asiwepo?
Murtaza ndo anasababisha kocha wa magolikipa asijulikane alipo?
Je Murtaza ndo alisababisha usajili wa wachezaji wabovu kama Okwa, Akpan, Kibu, Quattara,dejan?
Je Murtaza ndo alosababisha john boko, nyoni na gadiel kuongezewa mikataba huku ikijulikana uwezo wao umeisha?
Mnamuonea tu Mzee wa watu yeye katiba inachomruhusu ni kufungua na kufunga tu vikao basi.
Jamaa hana majukumu yoyote mkuu kwa katiba iliyopo.Murtaza kama. Mwenyekiti anahusika moja Kwa moja kwani hajui majukumu yake
Yeye ndiye anawajibika Kwa wanachama alitakiwa aitishe mkutano arekebisheJamaa hana majukumu yoyote mkuu kwa katiba iliyopo.
Bodi ndo kila kitu, bodi ndo inaendesha timu na ndo inafanya kila kitu kwenye timu.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Huu Uzi kama umeurudia hivi sema msimu huu mtatafuta sana sababu lakini uhalisia ni kua timu ya Simba ni mbovu.
Je Murtaza ndo anasababisha kocha wa viungo asiwepo?
Murtaza ndo anasababisha kocha wa magolikipa asijulikane alipo?
Je Murtaza ndo alisababisha usajili wa wachezaji wabovu kama Okwa, Akpan, Kibu, Quattara,dejan?
Je Murtaza ndo alosababisha john boko, nyoni na gadiel kuongezewa mikataba huku ikijulikana uwezo wao umeisha?
Mnamuonea tu Mzee wa watu yeye katiba inachomruhusu ni kufungua na kufunga tu vikao basi.
[emoji23][emoji28][emoji41]Hivi ukiondoa mpira katika fikra zako kichwa chako kinabaki na umuhimu gani?? Kamasi Despenser au Hanger ya Nywele zako??
Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC ) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu.
Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi kama Asante yako Kwako kwa Kuisaidia Yanga SC yako kuwa Bingwa Msimu uliopita na Simba SC Kufungwa na Yanga SC na kupata Shida pia Kumfunga Yanga SC.
Najua muda wake Murtaza Mangungu ( Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC ) umeshamalizika na tayari 98% ya wana Simba SC wameshamshtukia na hawamtaki tena ila kuna Upuuzi fulani unaufanya kwa Lengo lako Maalum.
Tunajua kuwa baada ya kuona na kujua kuwa muda wake ( Murtaza Mangungu ) umshapita na wala hatumtaki tena sasa Wewe Kiongozi mkubwa Mstaafu nchini umeamua kutembeza Pesa kwa baadhi ya Viongozi Wanafiki na Wasaliti ndani ya Simba SC ili waupeleke huu Uchaguzi hadi Mwakani 2023 ili umtumie ( Murtaza Mangungu ) katika Kuihujumu Simba SC katika Mechi zake za NBC Premier League mpaka tofauti ya Alama ( Gape Points ) ziwe ama 8 au 10 ( tofauti za zilizoko sasa ) ili hata kama asipochaguliwa tena na wana Simba SC basi tayari awe ameshafikia lengo kuiweka Yanga SC yako pazuri na wawe na uhakika wa kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu.
GENTAMYCINE namalizia Kukuambia Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa achana kabisa na Simba SC ili nawe yasije Kukuta ya Marehemu Juma Salum ( aliyekuwa Mwenyekiti wetu Msaliti Simba SC ) akiwa sambamba kabisa na Katibu Mkuu wa Simba SC Marehemu Priva Mtema.
Na ukitaka kujua GENTAMYCINE napata wapi Taarifa zako za ndani ni kutoka kwa Mdogo wako Kipenzi ( na mwana Yanga SC mkubwa ) ambaye Wewe ndiyo huwa unapitishia Kwake SiRI zote za Simba SC kwenda Yanga SC akishirikiana na Mroto wa aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Yanga SC kuzifanyia Kazi na Kutuumiza Simba SC ndani na nje ya Uwanja.
Hadi vile ukiwa 'Unawekwa' pia Mkuu.Unajikutaga unajua kila k2
Ngada fc aka MatejaTunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC ) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu.
Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi kama Asante yako Kwako kwa Kuisaidia Yanga SC yako kuwa Bingwa Msimu uliopita na Simba SC Kufungwa na Yanga SC na kupata Shida pia Kumfunga Yanga SC.
Najua muda wake Murtaza Mangungu ( Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC ) umeshamalizika na tayari 98% ya wana Simba SC wameshamshtukia na hawamtaki tena ila kuna Upuuzi fulani unaufanya kwa Lengo lako Maalum.
Tunajua kuwa baada ya kuona na kujua kuwa muda wake ( Murtaza Mangungu ) umshapita na wala hatumtaki tena sasa Wewe Kiongozi mkubwa Mstaafu nchini umeamua kutembeza Pesa kwa baadhi ya Viongozi Wanafiki na Wasaliti ndani ya Simba SC ili waupeleke huu Uchaguzi hadi Mwakani 2023 ili umtumie ( Murtaza Mangungu ) katika Kuihujumu Simba SC katika Mechi zake za NBC Premier League mpaka tofauti ya Alama ( Gape Points ) ziwe ama 8 au 10 ( tofauti za zilizoko sasa ) ili hata kama asipochaguliwa tena na wana Simba SC basi tayari awe ameshafikia lengo kuiweka Yanga SC yako pazuri na wawe na uhakika wa kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu.
GENTAMYCINE namalizia Kukuambia Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa achana kabisa na Simba SC ili nawe yasije Kukuta ya Marehemu Juma Salum ( aliyekuwa Mwenyekiti wetu Msaliti Simba SC ) akiwa sambamba kabisa na Katibu Mkuu wa Simba SC Marehemu Priva Mtema.
Na ukitaka kujua GENTAMYCINE napata wapi Taarifa zako za ndani ni kutoka kwa Mdogo wako Kipenzi ( na mwana Yanga SC mkubwa ) ambaye Wewe ndiyo huwa unapitishia Kwake SiRI zote za Simba SC kwenda Yanga SC akishirikiana na Mroto wa aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Yanga SC kuzifanyia Kazi na Kutuumiza Simba SC ndani na nje ya Uwanja.
Hadi vile ukiwa 'Unawekwa' pia Mkuu.
Nnya Sports Club aka MashogaNgada fc aka Mateja