Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mwanae Kipenzi anayefungua Vituo vya Mafuta Kila Kona ya Mkoa wa Dar es Salaam ( tena katika Makazi ya Watu ) jana alikuwepo Uwanja wa Benjamin Mkapa akiiangalia Timu yake pendwa na tukuka ya Yanga SC ikiifunga Kirahisi na Kimipango Mipango Singida Big Stars FC ambao walipocheza na Simba SC Kwao Singida walikuwa very aggressive tofauti na walivyokuwa very weak Jana.Huyo kiongozi kila sehemu anaharibu tuuu , kwenye uchumi anaharibu , nchi anaiharibu na kwenye michezo anaharibu , hii nchi itakuwa na laana kupewa kiongozi wa namna hyo
😆😆😆 Nyie jamaa bado mna stori za kila kichaa ni jasusi na kila ukiona mtu anakaa sana vijiwe vya kahawa et sajusi😆😆Kwani majasusi huwa wanakaa chooni ndo waje na taarifa???huwa wanapita pita huko huko kwenye vijiwe vya kahawa