Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

Murtaza kama. Mwenyekiti anahusika moja Kwa moja kwani hajui majukumu yake
 
Murtaza kama. Mwenyekiti anahusika moja Kwa moja kwani hajui majukumu yake
Jamaa hana majukumu yoyote mkuu kwa katiba iliyopo.

Bodi ndo kila kitu, bodi ndo inaendesha timu na ndo inafanya kila kitu kwenye timu.
 
Jamaa hana majukumu yoyote mkuu kwa katiba iliyopo.

Bodi ndo kila kitu, bodi ndo inaendesha timu na ndo inafanya kila kitu kwenye timu.
Yeye ndiye anawajibika Kwa wanachama alitakiwa aitishe mkutano arekebishe
 
Hili nalo mkalitazame kwa ukaribu
 
Unajikutaga unajua kila k2
 
Kwa nchi hii siku kadhaa kabla ya mechi wachezaji huaminishwa vitu vingi - miujiza ya kidini na kishirikina.

Maendeleo ya soka ni mbinu, mikakati na uwekezaji. Tatizo ndani ya SSC halitokani na mamluki.
 
Ngada fc aka Mateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…