Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

Kalewa mihadarati huyo teja siyo bure
 
Makamasi matupu
 
Mafi yako
 
Moderator hizi ni tuhuma nzito sana KWA kiongozi anae heshimika nchini. Tunaomba muufutilie mbali huu uzi wa huyu mlevi
 
Muwe mnaweka akiba ya mabeno , kitu kama haujafanyia utafiti hauna haki yakuongea, Hayo maneno yako uliyoyaandika hayana msingi wowote kwa ushauri wangu bora uyafute na ubadili kauli
 
Muwe mnaweka akiba ya mabeno , kitu kama haujafanyia utafiti hauna haki yakuongea, Hayo maneno yako uliyoyaandika hayana msingi wowote kwa ushauri wangu bora uyafute na ubadili kauli
Idiot.
 
@Moderator huyu jamaa hamumuoni anavyotukana
Nisaidie Kuwaambia pia kuwa nanyi huwa mnanitukana na Kunidhihaki sana tu hapa sawa?

Kwahiyo mnakuja na Multiple ID's zenu Kunichokoza, Kunitukana na Kunidhihaki ili niwajibu msivyopenda mkimbilie kwa Moderators kuwaambia wanipe BAN?

Na bahati nzuri hata Moderators wameshawajua na Kuwasomeni tabia zenu na ndiyo maana mnapiga Kelele niadhibiwe ila nipo kama kawaida.

GENTAMYCINE nina Sifa Kuu Mbili tu. Ukiniheshimu nami nitakuheshimu hadi utafurahi ila ukiniletea Uhuni nami nitakuonyesha Uhuni wangu hadi utanichukia.

Pumbavu.

Cc: adriz
 
Unazingua kijana,baada tupambane viongozi dilisha dogo walete watuu unapata tabu tuu haapa,kwa streck zenyewe akina kibu d,kazi tunayo safari hii.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Usajili wa simba kweli uliingia mdudu mfano kuna wachezaji walisajiliwa bila strong vetting lakini nina imani simba kuna watu makini watayaweka sawa.
 
Jamaa hana ujasusi wowote ni anakaa tu kwenye vijiwe vya kahawa hizi ndo stori zao na akileta hapa anaonekana well informed [emoji38]

Kwani majasusi huwa wanakaa chooni ndo waje na taarifa???huwa wanapita pita huko huko kwenye vijiwe vya kahawa
 
Popoma acha kujitetea ulichokiandika ni chuki mbaya sana mods wafted huu uzi
 
Popoma acha kujitetea ulichokiandika ni chuki mbaya sana mods wafted huu uzi
Ombi lako Kwao ili nipigwe BAN uliyoniombea limefanikiwa? Umeshajiuliza ni kwanini pamoja na Wapumbavu nyie baadhi ( wakiongozwa nawe ) mliotaka Uzi huu Ufutwe ila bado mpaka sasa upo na Watu ( Members ) wanaendelea tu Kuuchangia ukiwemo nawe pia?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…