Huyo kiongozi kila sehemu anaharibu tuuu , kwenye uchumi anaharibu , nchi anaiharibu na kwenye michezo anaharibu , hii nchi itakuwa na laana kupewa kiongozi wa namna hyo
Huyo kiongozi kila sehemu anaharibu tuuu , kwenye uchumi anaharibu , nchi anaiharibu na kwenye michezo anaharibu , hii nchi itakuwa na laana kupewa kiongozi wa namna hyo
Na Mwanae Kipenzi anayefungua Vituo vya Mafuta Kila Kona ya Mkoa wa Dar es Salaam ( tena katika Makazi ya Watu ) jana alikuwepo Uwanja wa Benjamin Mkapa akiiangalia Timu yake pendwa na tukuka ya Yanga SC ikiifunga Kirahisi na Kimipango Mipango Singida Big Stars FC ambao walipocheza na Simba SC Kwao Singida walikuwa very aggressive tofauti na walivyokuwa very weak Jana.