Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Labda kwa baadhi ya watuHaki zipo, asipotoshe watu.
Rushwa iko palepale tena ndio wanachukua madau makubwa kwa kisingizio cha MagufuliHaki ipo kwa watu wote,JPM amaenyoosha watu. Mahakimu wanachukulia rushwa chooni.
Iko wapi?Hiyo
Hope majibu umeyapata.Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Kila mtanzania ana haki ya kusikiliza sera za kila chama ili afanye maamuzi sahihi kwenye kupiga kura.
hvyo atapata mapokezi mazuri tu
Kakojoe ulale.Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Bwana yule mkumbushe kwenda Kagera[emoji23][emoji23]
Miaka mitano Lissu ameitumia kuwatukana watu wa Chato kuwa hawafai kuwa na uwanja wa ndege ,taa za barabarani wala lami, juzi ameropoka tena kuwa mtoto wa wana Chato ,Magufuli kuwa ni mshamba!
Alafu leo huyu mzee wa tutashitakiwa MIGA anaenda kuomba kura Chato?
Punguani huyooooTundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Kichwan umejaaa funzaaAmepigwa mawe