Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Achana na upumbavu wako huu hivi nyie vijana wa Mr Slowly mnakunywa pombe gan za kienyeji,hivi ofsi za Lumumba siku hizi zipo Ikungi?
Hizo ni dalili za kuishiwa hoja and this is typical of people who are interested or are capable of discussing ACTIVITIES AND SMALL MEANINGLESS ISSUES ONLY badala ya IMPORTANT ISSUES AND BIG IDEAS for development purposes.
 
Wakati mwingine wabunge wetu hujisahau na kuongeza nguvu zao kwenye mambo ya kitaifa na kusahau majukumu yao ya msingi.
Wabunge wachache sana wa upinzani wanaweza fanya hizo mambo za kitaifa na za majimboni kisawasawa, Zitto,Prof J,Heche wanajitahidi ila wengine wengi wanazingua sana wapiga kura wao majimboni.
Hii inawapelekea kuwa wapenzi wa watanzania wengi (kidogokidogo) toka majimbo mbalimbali na kuwa na support ndogo majimboni kwao.
Tofauti na wabunge wa CCM once ukiwa nje ya Cabinet wanakuwa hawana mambo mengi zaidi ya kujijenga jimboni.
2020 tutashuhudia mengi.
 
Wakati mwingine wabunge wetu hujisahau na kuongeza nguvu zao kwenye mambo ya kitaifa na kusahau majukumu yao ya msingi.
Wabunge wachache sana wa upinzani wanaweza fanya hizo mambo za kitaifa na za majimboni kisawasawa, Zitto,Prof J,Heche wanajitahidi ila wengine wengi wanazingua sana wapiga kura wao majimboni.
Hii inawapelekea kuwa wapenzi wa watanzania wengi (kidogokidogo) toka majimbo mbalimbali na kuwa na support ndogo majimboni kwao.
Tofauti na wabunge wa CCM once ukiwa nje ya Cabinet wanakuwa hawana mambo mengi zaidi ya kujijenga jimboni.
2020 tutashuhudia mengi.
Kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!

Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.

Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo huletwa na halimashauri manisipaa pia mbona wananchi hawakumtuma magufuli kuzuia mikutano ya siasa? Watanzania wamemtuma magufuli kuwatuma akina cyprian Musiba, le mutuz, Bashite na Heri kisanduku kwenda kumpiga Risasi Tundu Lisu? Wapiga kura walimtuma magufuli kukandamiza Demokrasia? Kuwabambikia kesi, kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali? Uonevu kwa Wapinzani
 
Kwanza, Sasa huyo Lissu kabla hajawa mbunge hapo, huko nyuma mliwahi kuwa na wabunge wangapi halafu wao waliwasaidiaje kimaendeleo..

Pili, ni kipi cha maendeleo walicholeta hao wabunge waliotangulia ambacho Lissu amekibomoa.

Tatu, Lissu amerudia ubunge akiwa chama cha upinzani kitu ambacho kwa mazingira halisi ya nchi hii sio rahisi, sasa kama ni wa hivyo amewezaje kuchaguliwa mara mbili mfululizo?

Nne, ni kwa vipi unatarajia mtu ambaye hakusanyi kodi yoyote akuletee maendeleo pale ambapo wameshindwa hata wale wanaokusanya kodi, majimbo yao na ya Lissu hayatofautiani kimaendeleo. Angalia hata Chattle ilivyo.

Tano, kama kweli ni mbunge wako, (Although I doubt it) unaonaje, mtu amenusurika kifo na kutelekezwa na bunge/serikali na hata hujui anatibiwaje huko aliko, hivi hata dhamira yako tu haikusuti kumshutumu mtu aliye ktk hali kama hiyo, wewe maendeleo yako tu ndio "Paramount" kuliko "Welfare" ya huyo unayemtegemea akuletee hayo maendeleo....very dismaying indeed.

Sita, nchi hii ni kubwa na ina viongozi wengi ktk positions mbali mbali, sasa hata hao nao bila shaka wameshindwa kuleta maendeleo na ndio maana nchi yetu bado ni masikini sana duniani, sasa huko kote nako ni Lissu ndio amezuia maendeleo yasipatikane???

Mwisho, kama kweli wewe ni wa hapo Singida, unaonaje ukitumia ukaribu wenu na mkoa wa Dodoma kuomba basi hata upelekwe hapo Mirembe Psychiatric Hospital ili wakufanyie "Mental Health Evaluation" so as to determine the exact psychiatric case that you may be having. Haingii akilini kwamba umeiandaa hii post ukiwa ktk a normal sound of mind. Strictly NO.
 
Back
Top Bottom