Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hapa ndipo umaskini wa watanzania wengi ulipo.Wahindi hawana nyumba wanapanga nyumba za msajili wa majumba na ni matajiri hatari watoto wanasoma kanada nkMnapokuwa kazini hasa kada au ofisi moja sometimes mnajisahau na kujiona kama ni kitu kimoja kwa 100%.
Unapomtembelea mwenzako unaweza kuamkwa na akili utakapoona ana nyumba nzuri zaidi,
Njoo na haya nawazo ukiwa na miaka 55 utalia na kusaga menoHapa ndipo umaskini wa watanzania wengi ulipo.Wahindi hawana nyumba wanapanga nyumba za msajili wa majumba na ni matajiri hatari watoto wanasoma kanada nk...
Dada mada yako ya kutaka watu wasijenge wawe Kama wahindi umeikomalia kweli, unashindwa kujua wahindi wanaogopa kujenga tangu enzi za nyerere, ila wanajenga kwao na kwa baadhi ya nchi za afrika.Hapa ndipo umaskini wa watanzania wengi ulipo.Wahindi hawana nyumba wanapanga nyumba za msajili wa majumba na ni matajiri hatari watoto wanasoma kanada nk...
Wakenya nao wengi matajiri huishi nyumba za kupanga na Apartments hilo nalo unasemajeDada mada yako ya kutaka watu wasijenge wawe Kama wahindi umeikomalia kweli, unashindwa kujua wahindi wanaogopa kujenga tangu enzi za nyerere, ila wanajenga kwao na kwa baadhi ya nchi za afrika...
Baada ya hapo ndio wakaenda "kuweka kidole"
DuuuuBaada ya hapo ndio wakaenda "kuweka kidole"
View attachment 1775097
Nataka nije kukutolea mahari ewe mchagaHapo mwisho ndio haswaa, wengi ni hivo kazi kuja kucheki cheki umbea....sitaki mfayakazi alete vimguu kwangu 😁
Ni watu wa wanongwa na husda sana jumlisha unafiki juu wapenda majungu kuliko kuwa wabunifuWazo ni jema ila wahusika sasa ndio ngoma nzito , mtu unamkaribisha vizuri kwako alafu kesho anaanza kukupakazia kwa boss ilitu mambo yako yasiende
Kama unamishe nyingi na ajenda za kutoboa weka mbali rafiki mtumishi mwenzioJambo jema Sana , tatizo ni moja fitna zimejaa mioyoni mwetu.
Kujiwekeza ni jambo mhuhimu sna haina haja ya external motivation. Nikujiongeza tu
Na ndio hofu ya kukaribishana na nyumbani inapo anzia hapoNi watu wa wanongwa na husda sana jumlisha unafiki juu wapenda majungu kuliko kuwa wabunifu