Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Duuuh [emoji848]Watu wafupi hawatakiwi kuoa.
Watu wafupi hawatakiwi kuoa.
No:3 Mwenye hofu ya Mungu
Swali kitendawili. Ila muhimu kuwa na hofu ya Mungu na kuvumilianaNo:3 Mwenye hofu ya Mungu
Hizo zingine ni mbwembwe tyuu!!
Kuna athari za kibinadamu km ajali,magonjwa na uchumi kuyumba. Je, utamuacha sababu kile ulichokipendea kimeondoka??
Namba moja always na ilikuwa na imekuwa na Amina iendelee milele.3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo
Combined 1,&3Kumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake.
Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo.
1: Mrefu mweupe
2: Mwenye pesa
3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo
4: Mrefu mweusi
5: Mwenye six pack
6: Mfupi mweusi
7: Mwenye uume mkubwa
8: Mfupi mweupe
View attachment 2818714
That's why nipo radhi kujiunga CCM ila sio kuwa na mwanamke japokuwa CCM ni adui yangu number 1 but I got no choice man!Kumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake.
Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo.
1: Mrefu mweupe
2: Mwenye pesa
3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo
4: Mrefu mweusi
5: Mwenye six pack
6: Mfupi mweusi
7: Mwenye uume mkubwa
8: Mfupi mweupe
View attachment 2818714
HELAKumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake.
Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo.
1: Mrefu mweupe
2: Mwenye pesa
3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo
4: Mrefu mweusi
5: Mwenye six pack
6: Mfupi mweusi
7: Mwenye uume mkubwa
8: Mfupi mweupe
View attachment 2818714