Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote batiliKumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake.
Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo.
1: Mrefu mweupe
2: Mwenye pesa
3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo
4: Mrefu mweusi
5: Mwenye six pack
6: Mfupi mweusi
7: Mwenye uume mkubwa
8: Mfupi mweupe
View attachment 2818714
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini sasa?Watu wafupi hawatakiwi kuoa.
Mutu mfupi ana Gubu na roho mbaya. Alafu Mbegu mby sn🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini sasa?
Sema kweli...Mradi awe anapumua, na inasimama bila miguu.