Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako.

Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa.

Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi, kimawazo na pengine hata ktk mikakati ya maisha.

Uzuri wa muonekano na ngono huwa vina maana kama maisha yanaenda vema.

Oa golikipa mpambanaji, siyo golikipa mshika rimoti na mfuatiliaji wa series. Unarudi toka kwenye mihangaiko unakuta mke kajilaza sakafuni, kasinzia mpk mate yanamtoka.

Wanakerahisha wanawake wa hivi! Bora uoe kahaba mwenye akili kuliko wife material asyejua A wala B, faida yake makalio makubwa.
 
Never allow mwanamke wa namna hii katika maisha yako
 
Back
Top Bottom