Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki.

Kila la Kheri.
 
Anetambulishwa Mzungu Mserbia leo Alasiri ila nasikia Manzoki atatambulishwa Kesho au Jumanne na Kanoute ndiyo anaachwa Ili Kumpisha.
Wewe na Mimi tunaheshimiana Sana. Kama itakuwa tofauti utaniwia radhi, lakini nakujulisha rasmi kwamba habari nilizonazo na masharti ya mkataba wa Georgi Hakuna mshambuliaji atakayekuja Kwa Sasa maana anatakiwa yeye awe regular starter. Tusubiri Hadi jumatano tutaelezana inbox.
 
Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki.

Kila la Kheri.
Mmekosa pesa ya kuvunja mkataba wake nyie malizaneni na uyo mzungu wenu alafu atatukuta kule mbalali kwenye uwanja wetu wana ihefu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom