Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??
Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.
Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"
Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.
Ewe mzazi think twice kabla ya kutenda..