Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Huenda huko kwao sio shidaKuna yule wa Simba SC anaitwa Deborah
[emoji1787] Gunior(gunia)Junior...
60 years later...
Hayo sio mabaya sana mkuu kwa balehe za kijana na wenzake kitaa..Mzazi unamwitaje mwanao shida,tabu,mawazo,masumbuko
Usukumani ndio majina yao hayoMzazi unamwitaje mwanao shida,tabu,mawazo,masumbuko
Kwa hyo na na yeye ajiongeze ajiite ceskoKuna jamaa baba alikuwa mchungaji kabisa akamuita mtoto wake Jesca.Shuleni alikuwa anakipata cha moto akajiongezea jina akaanza kujiita Jescariote .
Swadakta ajiite Cesko tu.Kwa hyo na na yeye ajiongeze ajiite cesko
TATIZO NI KWAMBA...ZOEZI LA UTOAJI MAJINA KWA WATOTO LIMETAWALIWA NA AKINA MAMA...AMBAO WANAPENDA MAJINA SPECIAL UNIQUE YA KIZUNGU YA KITURUKI NA KIFILIPINO AMBAYO AKIMWITA MWANAE LITAKUWA NDILO JINA HILO HILO MWANAE ATAKUWA ANAITWA MTAA MZIMA...Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujitungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??
Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yako na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.
Juzi hapa kitaa kuna dogo alimpiga dogo mwenzie jiwe la kichwa eti kisa ameitwa "sesi"
Yeye hataki kuitwa sesi ila anataka aitwe "Cecil" kwa madai kuwa sesi ni jina la kike.
Ewe mzazi think twice kabla ya kutenda..
Kwenye tamthilia...Wanatafuta uunique, tunasikia majina ya ajabu ajabu sana siku hizi sijui wanayatoa wapi.