Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Asante sana Mh. Naomba kila jobless awe na hardcopy ya hizi hakiewe Smooth Criminal mje muelewe haki zenu.
Bora ume msanua kuepusha aibu ndogo ndogo kwenye kundi la WATU wengi.KAKA KUNA WATU AWAPENDI KWENDA KAZINI SABABU WASHAAJIRI WATU UKO KAA KITAALAMU UTACHEKWA SAIVI AO NDO MARA NYINGI WANAJIITA MAJOBLESS NARUDIA KAA KITAALAMU MI NITAKUA NAKUCHEKA NIKIWA APA PEMBENI
Ni kweli mkuu vyeti watu wanavyo vipo makabatini/ kwenye begi Wana pambana mtaa na Wana make pakubwa kuliko watu wa ofisini.Haelewi huyo kudaadeq zake unakuta mtoto wa darasa la saba amefeli then anapelekwa VETA anatoka na ujuzi wake vizuri tu na anaamua kujiajiri.
Anakalili maisha anadhani kusoma mpaka uende O- level, A-level, ChuoMwambie huyo wapo wengi TU hawajasoma na wametusua Maisha wapo few to mention LUGUMI, MSUKUMA E.T.C
Darasa la saba wapo wengi Sanaa
Na ndio wameajir wasomi wengi wengi hapa TZ
KASANUKA KASEPA CHAP ALIEMUONESHA BANK STATEMENT HATUJAPENDA BADO MAPEMA SANABora ume msanua kuepusha aibu ndogo ndogo kwenye kundi la WATU wengi.
we Jamaa hizi taarifa sizi elewi, mimi Kama raisi wa ma jobless pro max nasema mki pata michongo nendeni mka fanye.KAKA KUNA WATU AWAPENDI KWENDA KAZINI SABABU WASHAAJIRI WATU UKO KAA KITAALAMU UTACHEKWA SAIVI AO NDO MARA NYINGI WANAJIITA MAJOBLESS NARUDIA KAA KITAALAMU MI NITAKUA NAKUCHEKA NIKIWA APA PEMBENI
Akiwa na akili nzurii atajirekebisha kwa tulicho mwelekeza akiwa kichwa ngumu kalaghabaho ☺️😊Anakalili maisha anadhani kusoma mpaka uende O- level, A-level, Chuo
Wakati Kuna watu wamepitia hizo stage zote na ufaulu mzuri lakini ajira hamna.
wengine hata hivyo vyeti hatu jui vina fananaje!Ni kweli mkuu vyeti watu wanavyo vipo makabatini/ kwenye begi Wana pambana mtaa na Wana make pakubwa kuliko watu wa ofisini.
watazitoa wapi sasaJobless halaf muwe na hela khaa
Mkuu ni sawa Kama hizo hela zina kaa safe yako, ila Kama ziko mtaani shilingi ita pinduka tu.watazitoa wapi sasa
Chai 🤣 😆, hamna kitu.Kacheki inbox yako basi
naam ni muhimu kuzi fahamu, ili utambue haki yako.Asante sana Mh. Naomba kila jobless awe na hardcopy ya hizi haki
Tunaonewa sana kiongoz, imagine kuna hii kauli "unaishi bila kazi we ndo unayetuibia"
tunaomba iangaliwe kwa kina
Halafu wanamwomba Mungu NiniWakumbushe jobless pia kila jumapili waende kanisani na wakiwa wameandaa Nia zao za Misa.
Wambie wasali wawezavyo kadri ya Imani zao.
Unyama sana RaisiRaisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.
katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.
waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
naam, siku pingi hapo. Jamaa yetu mmoja kaunga wi-fi full kula na story nyingi.Akiwa na akili nzurii atajirekebisha kwa tulicho mwelekeza akiwa kichwa ngumu kalaghabaho ☺️😊
raisi wa nini??, au cheo ulicho pata kina kufanya uanze uhuni??Unyama sana Raisi
Naam, imani ni muhimu. maana juhudi hazi shindi kudra.Wakumbushe jobless pia kila jumapili waende kanisani na wakiwa wameandaa Nia zao za Misa.
Wambie wasali wawezavyo kadri ya Imani zao.
hilo tuna lijua sisi.Halafu wanamwomba Mungu Nini
1. Wapate kazi
2.waendelee kuwa majobless
3. Awapatie subira na uvumilivu kwenye wanayopitia