Treaple N
JF-Expert Member
- Feb 11, 2021
- 224
- 510
Tunyoooooooooshe tunyoooooooooshe Hadi maji tuite MMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunyoooooooooshe tunyoooooooooshe Hadi maji tuite MMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanawaza mishahara tu, yani wanajiangalia wao tu [emoji16] kwamba yakipanda sio ishu kwakua kuna nyongeza ya mshahara [emoji16] na ambao wamejiajiri je! Hawana haki!! Hii nchi ngumu sana
Ahahha mim nkiweka ka ist kangu gesi ya elfu 50 full natumia wiki 2 na nusu ndio naenda tena ubungo kujaza... wese nishasahau labda niwe na safar ya mkoa ndio najaza
Hivi shilling ngapi kufunga Mfumo wa gas..Ahahha mim nkiweka ka ist kangu gesi ya elfu 50 full natumia wiki 2 na nusu ndio naenda tena ubungo kujaza... wese nishasahau labda niwe na safar ya mkoa ndio najaza
Najivunia kuwa Mwana CCMNa hapo unaambiwa imewekwa na ruzuku!😁.
USA mafuta bei ghali kuliko TZMama yenu anasemaje? Tukinyamaza itafika elfu tano
2mHivi shilling ngapi kufunga Mfumo wa gas..
Vipi gas inaweza kukufikisha safari ya dar mbeya
Mtambo wa gas ulifunga wapi ? Kiasi gani?Ahahha mim nkiweka ka ist kangu gesi ya elfu 50 full natumia wiki 2 na nusu ndio naenda tena ubungo kujaza... wese nishasahau labda niwe na safar ya mkoa ndio najaza