EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

Kwani Hali ya upandaji bei ya mafuta duniani/nchi nyingine za jirani ikoje? Embu tuwe tuna argue kwa facts na data.
 
Mwezi unao Tena yanapanda !!

EWURA na Wizara ya MAKAMBA, ni wapuuzi Hao, yaan hawana njia za kusolve suala ambalo litakuwepo Kwa muda mrefu !!!
 
Hakika kwenye misafara wa Mamba wakizidi Kenge unakuwa sio misafara wa Mamba tena bali misafara wa kenge

Hata mafuta yataadhirisha watu
Dah....binafsi nimejifungia ndani...wiki ya pili Sasa....natafuta namna ya kuishi bila mafuta 😂😂😂😂
 
Kupanda kwa bei ya Mafuta sio jambo la Ajabu, tunalalamika sana bila kufanya tafiti katika Nchi nyingie wakwemo majirani zetu na hata kule Ulaya na Marekani...
Ulaya na Marekani bei imeshuka kwa week 3 mfululizo.

Mwanzoni ilikuwa $6 kwa gallon. Sahivi ilishuka mpaka $4.

Iweje Tz ndo iwe inapanda tu?
 
Back
Top Bottom