Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka wauze kila siku kwa kanuni ipi?Basi hao wafanyabiashara watafute nchi yao kivyao maana ulivyoandika hapa wanajitegemea kwa kila kitu.
Wahame tu Tanzania yetu
Nchi haiwezi kuendesha mambo holela pasipo udhibiti....wa kulaumiwa hapo ni ewura wenyewe! hawadhiti kimfumo upandaji holela wanategemea nini!?
huwezi kumlazimisha mtu kuuza
Wananchi tunapiga kelele kuwa serikali imelala haitusaidii walaji. Sasa inaamka na kuchukua hatua kwa maslahi ya walaji na taifa zinatokea kelele kuwa inakosea.habari Wananchi
Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!
ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!
Ifahamike ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:
wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake!
anapotafta eneo la kujenga huwa peke yake
anapodaiwa mikopo huwa peke yake
anapojenga kituo gharama huwa juu yake
anapoomba kibari ewura hutozwa fedha tena wakati mwingine na bahasha ili kupatiwa kibali
mafuta yakishuka huwa ni hasara kwa mfanyabiashara mwenyewe
kwa maana hiyo mfanyabiashara huyu mamlaka zinamtaka kuzingatia hali ya usalama na kuuza mafuta katika hali ya usalama lakini hawapaswi kabisa kumpangia wa kuwauzia!
Mfanyabiashara anayo haki ya kuamua Baadhi ya magari asiyauzie mafuta hiyo ni haki yake na hapaswi kushurutishwa
mfanyabiashara anaweza kuamua kuuzia magari mfano aina benz na BMW tu na akagoma kuuzia gari za toyota ni haki yake hapaswi kuuadhibiwa
anaweza kataa kuuza kwa kuomboleza kifo cha ndugu yake ni haki yake hapaswi kushurutishwa
anaweza kuamua kujipa likizo na wafanyakazi na hutakiwi kumshurutisha
Mtu ambaye hajawahi kuuza hata mihogo kisa kapewa mamlaka ya kudhibiti anaamua kufungia watu waliowekeza akili, pesa na nguvu! hii siyo sawa kabisa!
Ewura ni mdhibiti lakini ni katika hali ya ubora na usalama na siyo kupangia watu wakati na muda wa kuuza!
Ewura walipaswa kujiuliza wanakosea wapi kwanini wafanya biashara wafiche mafuta,
Kama wanaona ni raha kuuza basi wauze wao kila wilaya wajenge kituo cha mafuta wauze kwa bei rahisi kubalance soko,
ebu tuwaze kidogo tu kama kweli Ewura wanawapenda sana wananchi kwanini bei inapanda kiholeka?
kama ewura wanajali wananchi kwanini hawaruhusu vibali vya vituo vya gesi barabara za mikoani? kwanini huwa wanagoma kutoa leseni za kujenga vituo vingi vya gesi CNG ukiachilia hivi viwili/vitatu dar nzima?
kwanini vituo vya CNG vipo limited nani anayetoa hayo maelekezo kuzuia visijengwe kwa faida gani?
Badala ya kufungia hivi vituo vinavyojitafta kimaisha soko huria, Yangekuwa maoni yangu ningelifukuza team nzima ya Ewura ije akili mpya ambayo itadhibiti kwa Akili na siyo kizamani namna hii ambako kunaleta mwanya wa rushwa!
Nani atakuwa salama kama kituo kinaweza fungwa kwasababu kimejipa off? VIPI Kama watendaji wa Ewura wakiamua kuitumia hiyo kama fimbo kuomba rushwa na wasipopewa wanakifunga kwa KAULI ZA NAMNA HIYO?
Ni akili ya hovyo sana kufungia Wachuuzi wakati wenye matatizo ni EWURA WENYEWE
habari Wananchi

Ewura kamatia hapohapo hatuwezi kurudi zama za wafanyabiashara kuiweka serikali mfukoni.......hutaki kuuza mafuta rudisha leseni ukauze mihogo wapewe wengine hiyo fursa.
Huyu jamaa na mimi namshangaa.... yaani eti anataka wafanyabiashara wauze madura kwa bei watakayo.... sasa tutakuwa na serikali au upuuzi? Kwamba wauze mafuta wanavyotaka?Hivyo vibali si ulitafuta ili uuze mafuta, kama hutaki kuuza kwa nini usinyanganywe ukauze hata chang'aa.....we jamaa boya sana, Ewura kamatia humohumo.
regulator haimaanishi kulazimisha kufungua,Regulator, ungeelewa maana ya hili neno wala hii thread yako isingekuwa valid.
Mkuu,regulator haimaanishi kulazimisha kufungua,
regulator waliyo nayo ni katika usala, ubora na upandaji bei!
REGULATOR Haiingilii uhuru wa mtu muda wa KUFUNGUA sijui unanielewa wewe!
MUDA WA KUFUNGUA ni maamuzi ya mfanya biashara!
UWAGE UNAELEWA MADA! Tunazungumzia MUDA, siyo bei!Huyu jamaa na mimi namshangaa.... yaani eti anataka wafanyabiashara wauze madura kwa bei watakayo.... sasa tutakuwa na serikali au upuuzi? Kwamba wauze mafuta wanavyotaka?
Wewe ni k....wa kulaumiwa hapo ni ewura wenyewe! hawadhiti kimfumo upandaji holela wanategemea nini!?
huwezi kumlazimisha mtu kuuza
mimi au wewe! Mwenye SHELI ANAYOHAKI KUAMKA HATA SAA TANO au asifingue kabisa,Mkuu,
Fungua uelewa wako kidogo ili uelewe.
Acha ubishi wa kizaramo babu...wamepewa leseni kwa ajili ya kutoa huduma kwa jamii. Sasa kama wanataka kupumzika maanake ni kwamba wameshindwa kutoa huduma.kwenye mashart ya leseni kuna sehemu inayoonesha likizo au off kwa mwenye kituo? Kuna kanuni ya kufungua kila siku?
Petrol station ni huduma huwezi kufunga tu kiholela bila utaratibu kisa una hela nyingi.unataka wauze kila siku kwa kanuni ipi?
kama wasomi ndiyo nyie hizo digrii zenu ni takatakaWewe ni k....
Hata haujui unachozungumza
kWAHIYO Ni marufuku kupumzika? umewaajiri wewe?Acha ubishi wa kizaramo babu...wamepewa leseni kwa ajili ya kutoa huduma kwa jamii. Sasa kama wanataka kupumzika maanake ni kwamba wameshindwa kutoa huduma.
Warudishe leseni wengine wachukue huduma zitolewe kwa jamii.
makosa yao wanaadhibu wasiyohusika!Ila hii nchi tulipofika
utakuwa unauza kinyesi mkuu mambo ya mafuta hujui tuliza domo au unauza mafuta ya videbe?mimi ni mfanyabiashara siwezi bishana na mtu ambaye hajawahi kuuza hata mchicha