EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

Ndugu yangu nchi hiyo, matatizo ya mafuta, kati ya wanufaika wengi, wa mchezo huo, ndo viongozi serikalini na pia wanatokea kuwa na hisa ktk makampuni ya biashara hiyo ya mafuta, hivyo haya mambo aisee, mkubali tu yaishe.....
Ni upumbavu ulio kichwani kwako tuu. Nchi aina mafuta.

Waagizaji wa mafuta washalalamika sana wanahitaji dollar za kulipia orders zao; sokoni hakuna.

Mnajazana ujinga tu watu wanaficha mafuta bila ya kutaka kusumbua vichwa vyenu kuelewa kisa na mkasa cha matatizo ya hiyo sector.

Hakuna anaeficha mafuta; ni kwamba hayapo.
 
Siku 19 anaona nyingi?
Labda aseme mzigo mwingine unashushwa soon
 
Muhuni tu huyo
Ukumbuke jamaa na familia yake wanatembelea V8 za serikali ambapo wao wana sheli zao maalumu Kurasini kule. Hivyo anachosema hamna uhaba wa mafuta ni kweli kwa sababu mda wote dereva wake anaenda kujaza tu.
 
Siku 19 anaona nyingi?
Labda aseme mzigo mwingine unashushwa soon

Acha tu ndiyo waliominiwa na nchi kutuongoza...yaaani siku 18/19 anaona ni hifadhi ya kutosha wakati USA wana stock ya miaka 100 na wala hawaringi.
 
Bora angekaa kimya. Siku kumi na tisa ni tishiso Sana.
 
Acha tu ndiyo waliominiwa na nchi kutuongoza...yaaani siku 18/19 anaona ni hifadhi ya kutosha wakati USA wana stock ya miaka 100 na wala hawaringi.
Nimechoka sana maana hata mzigo ushushwe kesho,kupakua ,kusambaza hadi ufike mtaani sio leo.
Ye anatwambia siku 19 max.
Labda ziwepo meli tayari zinashusha mzigo leo.
 
Eti siku 19 CCM mmetufikisha mahali pabaya sana
Kuna mwingine alijitokeza hadharani eti kuna uhaini
Nashukuru watalii hawakumsikia yule mlevi.
Yuel IGP sijui Hana hekima, unasema Kuna uhaini wakati nchi inatarajia kuwa mwenyeji wa conference ya kilimo kwa nchi sabini.
 
Huyu na mkewe Wote ni sarakasi tupu
 
Hali ni tete Moshi Mjini imekumbwa na uhaba wa mafuta ya Petrol na Diesel

Source Mwananchi

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
Nmeona kahama baadhi yaa maeneo sjui uwoga bodaa na magari wamejaa sheli...nazan wanajihami maaana ALARM 🚨 IS ON...
source; eye witness
 
Serikali ya Samia imekaa kimya. Tunachokiona ni wakuu wa wilaya na mikoa kutoa matamko ya mikwara ya kuvifingia vituo vya mafuta . Na EWURA inakurupuka kushusha rungu.

Kwann ccm isichukue hiyo bili 125 iliyotengwa kuwapa polisi ili isaidie kuiba kura mwakani ikanunua mafuta na kuondoa hii adha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…