Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ni upumbavu ulio kichwani kwako tuu. Nchi aina mafuta.Ndugu yangu nchi hiyo, matatizo ya mafuta, kati ya wanufaika wengi, wa mchezo huo, ndo viongozi serikalini na pia wanatokea kuwa na hisa ktk makampuni ya biashara hiyo ya mafuta, hivyo haya mambo aisee, mkubali tu yaishe.....
Waagizaji wa mafuta washalalamika sana wanahitaji dollar za kulipia orders zao; sokoni hakuna.
Mnajazana ujinga tu watu wanaficha mafuta bila ya kutaka kusumbua vichwa vyenu kuelewa kisa na mkasa cha matatizo ya hiyo sector.
Hakuna anaeficha mafuta; ni kwamba hayapo.