ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Tumesema tutamkumbuka kwa mazuriWivu wa nini , unataka kusema kipindi chake mafuta hayakuwahi kupanda ?
Kipindi chake watu si ndio mlipandishiwa hata bei ya data, sukari , mafuta na hadi mkafungiwa mitandao siku 7 !
Mumkumbuke pia kwa kuua sekta binafsi na kutopandisha mishahara miaka yake 5 ili watu wote wawe level moja huku yeye akiendelea kuvuta mshahara wake wa mamilioni bila kupunguza hata senti
Tatizo sio kupunguza tozo tatizo wapigadili aliowakumbatia. Ukisema hili wanaleta hoja zao zile za kipigaji wanakuyumbisha😅Mama angepunguza tozo kweny mafuta mbona Zanzibar wameweza
Hapa umeambiwa kuna mashindano kwani?Unapambana kuhakikusha Magu hachukui point hahaaaa kweli hakuna jamii isiyo na wachawi
Mkumbuke kwa mazuri tu mimi namkumbuka kwa mabaya ambayo yalikua ni mengiTumesema tutamkumbuka kwa mazuri
Tulimtaka au alokija by defaultHapana mkuu, huyu (anaupiga mwingi)ndiye tuliyemtaka baada ya yule.
Wewe nitakuchoma ErgometrineHio mimba uje nikuchome oxytocin itoke😅 maana ime over Due!
Ndio maan ya kupigwa.. na ndio tafsiri wabobezi wasomi waliopo kwenye Ewura .Ila mafutq kwenye soko la dunia yameshuka toka mwezi huu mwanzoni, sikuona sababu ya kusubiria january
Usanii upo Lumumba huko mimi sio msanii ! Nakuuliza tena mnayesema mtamkubuka aliwezesha kuchimba mafuta bila kuagiza kama jibu ni sio zip your mouth!
Muwe mnaangalia hata huko duniani. Bei imepanda hata USAShe has failed the nation.
Hilo swali lako mbona lina conflict unasema aliwezaje kuchimba bila kuagiza,Usanii upo Lumumba huko mimi sio msanii ! Nakuuliza tena mnayesema mtamkubuka aliwezesha kuchimba mafuta bila kuagiza kama jibu ni sio zip your mouth!
Sasa bei ya gari itashuka...brevis itakuwa 3mHahahahahahah crown juu ya mawe😅 imefikia mahali bei ya mafuta na cc za gari zimefanana😅
Hahahah kuna 2m mfuko wa shati hapaSasa bei ya gari itashuka...brevis itakuwa 3m
Sababu muhusika amefanya exclusion kuwa sababu jiwe hayupo ndio mafuta yamepanda nikauliza pia kwani kipinfi yupo hayakupanda?Hilo swali lako mbona lina conflict unasema aliwezaje kuchimba bila kuagiza,
Na inafahamika alikuwa anaagiza.
kwanini Zambia wanaopitisha mafuta kwetu kwao bei ni rahisi.
"Kuhusu Zambia bei kuwa chini wakati wanapitisha Tanzania hiyo ni kesi nyingine na ni internal arrangements walizofanya serikali yao na pia bidhaa zipo nyingi".Sababu muhusika amefanya exclusion kuwa sababu jiwe hayupo ndio mafuta yamepanda nikauliza pia kwani kipinfi yupo hayakupanda?
Ona hapa Bei ya mafuta yapanda Tanzania - china radio international
Kuhusu Zambia bei kuwa chini wakati wanapitisha Tanzania hiyo ni kesi nyingine na ni internal arrangements walizofanya serikali yao na pia bidhaa zipo nyingi imported Tanzania bei iko juu kuliko mtu akitafuta nchi jirani