ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Tumesema tutamkumbuka kwa mazuriWivu wa nini , unataka kusema kipindi chake mafuta hayakuwahi kupanda ?
Kipindi chake watu si ndio mlipandishiwa hata bei ya data, sukari , mafuta na hadi mkafungiwa mitandao siku 7 !
Mumkumbuke pia kwa kuua sekta binafsi na kutopandisha mishahara miaka yake 5 ili watu wote wawe level moja huku yeye akiendelea kuvuta mshahara wake wa mamilioni bila kupunguza hata senti