EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Wivu wa nini , unataka kusema kipindi chake mafuta hayakuwahi kupanda ?

Kipindi chake watu si ndio mlipandishiwa hata bei ya data, sukari , mafuta na hadi mkafungiwa mitandao siku 7 !

Mumkumbuke pia kwa kuua sekta binafsi na kutopandisha mishahara miaka yake 5 ili watu wote wawe level moja huku yeye akiendelea kuvuta mshahara wake wa mamilioni bila kupunguza hata senti
Tumesema tutamkumbuka kwa mazuri
 
Ila mafutq kwenye soko la dunia yameshuka toka mwezi huu mwanzoni, sikuona sababu ya kusubiria january
Ndio maan ya kupigwa.. na ndio tafsiri wabobezi wasomi waliopo kwenye Ewura .

Hii ndio Africa , Gear itabadilishwa angani yakipanda kule hapa katikati.Hapa watakuja na hoja kuwa kulikuwa na stock ya nyuma.
 
Haitoshi waweke mpaka 10,000Tshs angalau hapo tuheshimiane mjini.
 
Lazima tuelewe hata ingekuwa tunazalisha mafuta bado bei ingepanda na sababu kuu mafuta yanaenda na bei ya soko la dunia ni demand and supply. JP morgan wamesema mpaka ikifika 2023 pipa moja itakuwa 150$ kwa brent. Kumbuka dunia haija revover full kwenye Covid. Shida ya hapa kwetu kufanya siasa katika mambo ya msingi kama mwezi jana kusema sababu shirika la mafuta Tanzania kushinda tender mafuta yatakuwa bei chini hapo ndio shida ilianza, wali tender bei ndogo bila kufanya reserch kwa maana trend ya bei ikoje sasa kupandisha ni kuwezesha kurudisha gharama zao. Na ma challenge Makamba kwenye hili hakuna kitu kununua direct labda angekuwa serious na kama wako serious kuvuta mwekezaji aje awekeze refinery nchini ingesaidia kidogo kwa maana gharama fulani zingepungua lakini kwa sysyem hii ya bulk procurement tuta fail sababu haina uhalisia ni Ewura wanacheza na number tu kwenye computer wamekuwa kama speculators. issue ni kubwa kuliko na ni kweli hatuwezi ku control bei hata USA hawezi ila tunashida katika mifumo yetu ya ndani inachangia hii hali. UAE wamepandisha pia kikubwa JP Morgan jana wamesema tunaelekea 150$ tujiandae. Crude ni bei raw materials refining ni gharama zingine ila vina link, na hii sio mafuta tu bidhaa zote zinazotumia petroleum product zitapanda hatuoni sababu Ewura wanatangaza mafuta tu lakini chain yote inapanda na hii haijalishi nani anatawala ni mahitaji ya dunia inapanga bei.
 
Usanii upo Lumumba huko mimi sio msanii ! Nakuuliza tena mnayesema mtamkubuka aliwezesha kuchimba mafuta bila kuagiza kama jibu ni sio zip your mouth!

Kwani lazima ucomment kwa jaziba? Tulia Dawa ikuingie jobless mmoja wewe
 
Usanii upo Lumumba huko mimi sio msanii ! Nakuuliza tena mnayesema mtamkubuka aliwezesha kuchimba mafuta bila kuagiza kama jibu ni sio zip your mouth!
Hilo swali lako mbona lina conflict unasema aliwezaje kuchimba bila kuagiza,
Na inafahamika alikuwa anaagiza.
kwanini Zambia wanaopitisha mafuta kwetu kwao bei ni rahisi.
 
Tunaomba na bei ya Majirani tulinganishe..
Zambia..
Malawi..
Msumbiji..
Uganda..
Rwanda..
Burundi..
Mama alisema twende na wenzetu..
 
Hilo swali lako mbona lina conflict unasema aliwezaje kuchimba bila kuagiza,
Na inafahamika alikuwa anaagiza.
kwanini Zambia wanaopitisha mafuta kwetu kwao bei ni rahisi.
Sababu muhusika amefanya exclusion kuwa sababu jiwe hayupo ndio mafuta yamepanda nikauliza pia kwani kipinfi yupo hayakupanda?

Ona hapa Bei ya mafuta yapanda Tanzania - china radio international

Kuhusu Zambia bei kuwa chini wakati wanapitisha Tanzania hiyo ni kesi nyingine na ni internal arrangements walizofanya serikali yao na pia bidhaa zipo nyingi imported Tanzania bei iko juu kuliko mtu akitafuta nchi jirani
 
"Kuhusu Zambia bei kuwa chini wakati wanapitisha Tanzania hiyo ni kesi nyingine na ni internal arrangements walizofanya serikali yao na pia bidhaa zipo nyingi".
Serikali ya Samia ina shindwa nini kufanya hizo arrangement.
Na kwa nini hutaki kukiri Magufuli alifanikiwa kufanya hizo internal arrangement
 
Back
Top Bottom