EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Muwe mnaangalia hata huko duniani. Bei imepanda hata USA
Tuanzie kwa landlocked neighbors; Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia... Bei iko vipi huko kulinganisha na kwetu?!
 
Tanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?

Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!

Hafufuki ng'o hata mfanyeje
Acha ujinga wewe,alipokuwa anaropoka makamba kwamba bei itashuka December alijua haitafika? Wanapandishaje bei wakati mafuta yanashuka huko sokoni?

Watanzania tutajuta aki. Tumempoteza magufuli ambaye alitutetea.
 
Kwa hali hii tutashindwa kuiamini Serikali kwa sababu hawatuambii ukweli. Waliahidi bei ya mafuta kupungua kuanzia Desemba 2021. Wamebadili gia na kusema tusubiri February 2022. Ikumbukwe kwamba sijasema kuwa wao ni waongo bali hawasemi ukweli.
 
Mda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu! Huyo Magufuli aloshafariki mnamleta kwenye mjadala wa nini? Huyu mama kama Anashindwa kujisimamia kwenye masuala nyeti kama ya mafuta na gesi nayo imepanda lazima ukweli usemwe! Ila zio kila anayemkosoa mama ni team Magufuli hapo tunaharibu Sana!
Yaani watu wanafikiri tukimtaja magufuli eti tunamkosoa Rais Samia.....indeed mheshimiwa samia hajali kabisa wananchi wake na amewaruhusu watendaji wake watutafune wanavyotaka. Hata kama ni kufidia hasara walizozipata chini ya magufuli.....this is too much.

1. Tozo kwenye miamala
2. Tozo kwenye luku
3. Kodi kwenye kila litre ya mafuta.
4. Gesi kupanda bei
5. Umeme kukatika hovyo
6. Maji ya mgao
7.mafuta kupanda bei hovyo
8. Vifaa vya ujenzi kupanda
9. Mafuta ya kula kupanda
10. Sabuni kupanda bei nk.
Maisha ya mtanzania yako katika hali mbaya sana ya mpito.
Hii ni sababu tosha kuwa Tanzania haitamsahau magufuli hadi Samia anatoka madarakani.
Tumechoka. Tumechoka. Tumechoka.
 
Kwa hali hii tutashindwa kuiamini Serikali kwa sababu hawatuambii ukweli. Waliahidi bei ya mafuta kupungua kuanzia Desemba 2021. Wamebadili gia na kusema tusubiri February 2022. Ikumbukwe kwamba sijasema kuwa wao ni waongo bali hawasemi ukweli.
Siasa ni uongo mtupu, siku zote ukweli ni mdogo sana na hata viongozi wetu wengi wanajiangalia wao kwanza ndio baadae waje waangalie wananchi.
Kama wangekuwa wakweli watu wengi wange ichukia sana hii nchi
 
https://jamii.app/JFUserGuide**en nchi ya kingese hii
 
Mbona sukari ilipanda bei na yeye alikuwepo? Alifanya nini?
Itakuwa hayo mafuta
Sababu muhusika amefanya exclusion kuwa sababu jiwe hayupo ndio mafuta yamepanda nikauliza pia kwani kipinfi yupo hayakupanda?

Ona hapa Bei ya mafuta yapanda Tanzania - china radio international

Kuhusu Zambia bei kuwa chini wakati wanapitisha Tanzania hiyo ni kesi nyingine na ni internal arrangements walizofanya serikali yao na pia bidhaa zipo nyingi imported Tanzania bei iko juu kuliko mtu akitafuta nchi jirani
 
Usanii mtupu.
Kuna Mambo hapa duniani huwezi kwenda kinyume na matakwa ya mabeberu.
Gesi tunayo lkn tunapikia gesi ya nje.
Gesi yetu inaweza kuendesha magari madogo lkn tunanunua petroli toka ubeberuni.
Gesi tunayo ya kumwaga, huku tuna mgao wa umeme.
Waziri yupo
Katibu mkuu yupo
Kanishna yupo lkn wanakula supu ya utumbo tu.
Hakuna cha kinyume na mabeberu ila nikuwasifu viongozi kwa uongo na ukweli kutokusemwa au pia kutosikilizwa, nenda hapo Zambia vitu vya matumizi ya Kila siku bei ipo chini sana tena wametengeneza wenyewe na nivitu vizuri hata wanavyonunua nje kama mafuta bei chini, Kenya hivyo hivyo swala la kufua kwa kutumia sabuni nzuri ni kitu cha kawaida na niweusi wenzetu hivyo kwanini sisi tu? Ni kwavile hatutaki kusema ukweli kwamba mahitaji ya Kila siku kama sukari, sabuni, gesi za kupikia, umeme na vyakula vinatakiwa viuzwe bei ndogo kiasi cha Kila mtu kuweza kununua Ili vingine vishuke bei pia.
 
Mbona wakati wa jiwe hajafa petrol tuliuziwa chini ya 2000 kwa muda wote..

Tena mwaka huu kabla jiwe hajafa petrol ilikuwa 1800
Huna akili na hufuatilii international media.
Wakati Tanzania Petrol ikiuzwa 1500's Marekani walikuwa wakiuza bure ( wakigawa kwa wananchi wao).
Kazi kumsifia Magufuli tu.
Wakati wa Magufuli kipindi Petrol ilipouzwa 2300 Rwanda na Burundi iliuzwaje?.
Hebu fanyeji ulinganifu na angalau nchi jirani.
Wewe akili yako umeifungia Chato, Bukombe, Keko na Singida tu
 
Muacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana [emoji28][emoji28][emoji28] sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha [emoji28]
[emoji16][emoji16]
 
Ukiwa na kigari chako old model kinachokunywa mafuta unaweza kipark. Maana mafuta ya elfu 10 hata kuwaka hakiwaki
 
Dah....kumbe hata buku3 hayajafika....Safi sana mama.... Kazi iendelee 🤣🤣🤣🤭
 
Back
Top Bottom