Tuanzie kwa landlocked neighbors; Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia... Bei iko vipi huko kulinganisha na kwetu?!Muwe mnaangalia hata huko duniani. Bei imepanda hata USA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanzie kwa landlocked neighbors; Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia... Bei iko vipi huko kulinganisha na kwetu?!Muwe mnaangalia hata huko duniani. Bei imepanda hata USA
Duuuh!! Wap huko???Kwetu huku is shapanda siku nyingi Lita moja ya petrol shilingi 3500
Itakuwa kule Mwigulu alikowashauri wapinga tozo wahamie 😆😆😆Duuuh!! Wap huko???
Acha ujinga wewe,alipokuwa anaropoka makamba kwamba bei itashuka December alijua haitafika? Wanapandishaje bei wakati mafuta yanashuka huko sokoni?Tanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?
Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!
Hafufuki ng'o hata mfanyeje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Itakuwa kule Mwigulu alikowashauri wapinga tozo wahamie [emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani watu wanafikiri tukimtaja magufuli eti tunamkosoa Rais Samia.....indeed mheshimiwa samia hajali kabisa wananchi wake na amewaruhusu watendaji wake watutafune wanavyotaka. Hata kama ni kufidia hasara walizozipata chini ya magufuli.....this is too much.Mda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu! Huyo Magufuli aloshafariki mnamleta kwenye mjadala wa nini? Huyu mama kama Anashindwa kujisimamia kwenye masuala nyeti kama ya mafuta na gesi nayo imepanda lazima ukweli usemwe! Ila zio kila anayemkosoa mama ni team Magufuli hapo tunaharibu Sana!
Siasa ni uongo mtupu, siku zote ukweli ni mdogo sana na hata viongozi wetu wengi wanajiangalia wao kwanza ndio baadae waje waangalie wananchi.Kwa hali hii tutashindwa kuiamini Serikali kwa sababu hawatuambii ukweli. Waliahidi bei ya mafuta kupungua kuanzia Desemba 2021. Wamebadili gia na kusema tusubiri February 2022. Ikumbukwe kwamba sijasema kuwa wao ni waongo bali hawasemi ukweli.
Mtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
Sababu muhusika amefanya exclusion kuwa sababu jiwe hayupo ndio mafuta yamepanda nikauliza pia kwani kipinfi yupo hayakupanda?
Ona hapa Bei ya mafuta yapanda Tanzania - china radio international
Kuhusu Zambia bei kuwa chini wakati wanapitisha Tanzania hiyo ni kesi nyingine na ni internal arrangements walizofanya serikali yao na pia bidhaa zipo nyingi imported Tanzania bei iko juu kuliko mtu akitafuta nchi jirani
Umeshafura manka!Amtegemeaye binadamu amelaaniwa. Ulitegemea atabaki milele? Yupo kuzimu sasa anapambana na shetani
Kwetu yaweza kuwa sababu ni tozo na kodi za ajabu ajabuTuanzie kwa landlocked neighbors; Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia... Bei iko vipi huko kulinganisha na kwetu?!
Hakuna cha kinyume na mabeberu ila nikuwasifu viongozi kwa uongo na ukweli kutokusemwa au pia kutosikilizwa, nenda hapo Zambia vitu vya matumizi ya Kila siku bei ipo chini sana tena wametengeneza wenyewe na nivitu vizuri hata wanavyonunua nje kama mafuta bei chini, Kenya hivyo hivyo swala la kufua kwa kutumia sabuni nzuri ni kitu cha kawaida na niweusi wenzetu hivyo kwanini sisi tu? Ni kwavile hatutaki kusema ukweli kwamba mahitaji ya Kila siku kama sukari, sabuni, gesi za kupikia, umeme na vyakula vinatakiwa viuzwe bei ndogo kiasi cha Kila mtu kuweza kununua Ili vingine vishuke bei pia.Usanii mtupu.
Kuna Mambo hapa duniani huwezi kwenda kinyume na matakwa ya mabeberu.
Gesi tunayo lkn tunapikia gesi ya nje.
Gesi yetu inaweza kuendesha magari madogo lkn tunanunua petroli toka ubeberuni.
Gesi tunayo ya kumwaga, huku tuna mgao wa umeme.
Waziri yupo
Katibu mkuu yupo
Kanishna yupo lkn wanakula supu ya utumbo tu.
Huna akili na hufuatilii international media.Mbona wakati wa jiwe hajafa petrol tuliuziwa chini ya 2000 kwa muda wote..
Tena mwaka huu kabla jiwe hajafa petrol ilikuwa 1800
[emoji16][emoji16]Muacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana [emoji28][emoji28][emoji28] sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha [emoji28]
Muda ungerudi nyumaMtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!