EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

[emoji120][emoji120][emoji120] tushukuru kwa hiki, SRI LANKA hawana kabisa hayo mafuta ya kununua hata kwa Lita buku 10.

Fuatilieni taarifa za kimataifa mjionee athari za ule mzozo.
 
Mama anaupiga mwingi sana !
 
CCM mtu wa maana ni Warioba..
Wengine wote ni mishetani na wafadhili wao wa chama; waliohai na waliokwisha kufariki wote ni mishetani.
 
[emoji120][emoji120][emoji120] tushukuru kwa hiki, SRI LANKA hawana kabisa hayo mafuta ya kununua hata kwa Lita buku 10.

Fuatilieni taarifa za kimataifa mjionee athari za ule mzozo.
Kwa nn mfano ni sri Lanka? Kwa nn unalinganisha na nchi ambazo serikali imeanguka?

Toa mfano kwa majirani hapa
Kwa n usiniulize Bei ya mafuta Burundi na Kenya ipo chini kuliko kwetu?
 
Alikua anakomoa watu wala usimtetee, mbona baadae aliruhusu?

Unakuza viwanda vya ndani kwa kubalance import. Nakupa mfano

-viwanda vinazalisha Tani 5000
-matumizi Tani 7000

Basi unaruhusu Sukari iingie Tani 2000 tu ili kubalance demand na supply.

Ikiwa matumizi makubwa kuliko uwezo wa Viwanda anaetaabika ni mwananchi.
 
322O hio ni petrol mzee mbn unajifanyia discount?
Bei mpya za petrol na diesel zimetoka. Kama kawaida bei imepanda. Mfano Dar petrol ni 3,150 na Diesel ni 3,143. Sio mbaya maanake mishahara pia imepanda! Nchi imefunguka tulambe asali.
 
Eatv Kuna data hapa

https://www.facebook.com/
Sukari ilikuwa around 1200 kwa kilo mpaka 2014, kuna mtu Akaitoa hapo mpaka 5000 baadhi ya maeneo, ndani ya miaka 5 tu.

Hilo la KK sijakupata,
 
Japo asingeenda ila approach yake katika majanga ni nzuri
 
Kwa nn mfano ni sri Lanka? Kwa nn unalinganisha na nchi ambazo serikali imeanguka?

Toa mfano kwa majirani hapa
Kwa n usiniulize Bei ya mafuta Burundi na Kenya ipo chini kuliko kwetu?
Nchi zote za Afrika Mashariki ukiitoa DRC, TZ ndio tuna bei ndogo za mafuta, ingia kwenye www.globlalpetrolprice.com acha hizi blah blah za kijinga.
 
Japo asingeenda ila approach yake katika majanga ni nzuri
Kweli kabisa maana majanga yote tuliyopata kama Tetemeko la kagera na Ile Ajali ya Mwanza mahela kibao yalikuja kama Rambirambi Magu hajakula hata sh 10 hela zote zilifaidisha wahanga.

Ama nasema uongo ndugu zangu 🤣🤣
 
Eatv Kuna data hapa

https://www.facebook.com/
Sukari ilikuwa around 1200 kwa kilo mpaka 2014, kuna mtu Akaitoa hapo mpaka 5000 baadhi ya maeneo, ndani ya miaka 5 tu.

Hilo la KK sijakupata,
Asante kwa hii info.
Hapo wanasema mpaka Jan 2015, mbona wewe unasema mpaka 2014? Unajaribu kuzichukia mpaka data ulizoleta mkuu?

Uzalishaji wa sukari nchini ni kiasi gani kwa siku? Ukilinganisha na matumizi, tunajitosheleza? Kuna ongezeko la matumizi ya sukari kulingana na ongezeko la watu? Sensa ya mwisho 2002 inasema tuko 45m, leo wanakadiria tuko karibia 60m.

Ni sehemu gani ya nchi kilo ya sukari inauzwa kwa sh 5,000? Sababu zipi zinahalalisha bei hiyo?

Familia ngapi zina Baba wakali wanaolinda familia zao na kuogopeka kuliko mtoa roho kisha watoto wao kupigwa mimba katika umri mdogo wakiwa wanafunzi? Hii ina maana watoto wote hawakumtii au waliopotoka tu?

Kama wewe bado ni muumini au umewahi kuwa muumini, Mungu alimuumba shetani kwa madhumuni yapi? Je, anayoyafanya huyo shetani, yanakufanya wewe uone kuwa Mungu si mwema tena?
 
Mm nataka kujua hiyo sukari 5000 ni wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…