EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

Issue ni hiyo statement kuwa Bei ya mafuta imepanda Kwa 21% kwenye soko la Dunia na pia gharama za uagizaji zimeongezeka Kwa 62%. Huo ni UWONGO.
Mibunge yetu nayo mamamake hata haihoji imekarisha makengele tu kwenye viti! Huu no uongo wa mchana kweupe. Hakuna bei iliyopanda huko kwenye soko la dunia. Bei imesimamia kwenye $86 kwa barrel bei ambayo ni ya muda mrefu!
 
Wewe jamaa nilijua una akili timamu kumbe hamna kitu kabisa.

Hii laana yote ni mavuno ya makamba,wamemtoa hapo kumfichia aibu tu.
Trillions of hela za maintenance umeme unarudi Sasa hivi toka ukatike Jana. Fisadi nyiee
Jaribu kufanya utafiti maana hata hujui tatizo lipo wapi ,acha kufuata mkumbo wa wanasiasa.
 
Niende zangu nakonde zambia nikajaze full tank harrier kwa 80,000 na nna kaa Mbeya mjini sioni hasara ya kilometa 100 za kufika Tunduma. Anko matai alisema kama maisha magumu tuende nchi za jirani
 
Hapo ndio kazi ya EWURA kuhakikisha sheria kali kwenye cartels nchi zingine hii ni kesi kubwa sana na wanaogopa kufanya. kwenye NFRA haitawezekana maana mahindi unazalisha mwenyewe lakini mafuta hata kama unazalisha nchini kwako shida bei hupangi wewe ni soko la dunia vinginevyo ukiuza bei ya chini ya soko unakuwa kama unatoa ruzuku na hatari nyingine kubwa ukitoa ruzuku kubwa bei yako ikawa chini kuliko majirani zako unafungua magendo wataanza kununua mafuta ya ruzuku na kuuza kwa majirani na kwakuwa tumezungukwa na nchi nyingi ni hatari. bei yako isiwe chini sana kuliko majirani ikaleta ushawishi magendo kupitia mipakani. Kuna nchi moja nilishawahi kwenda sababu mafuta yao yalikuwa bei chini kuliko jirani zao( sababu ya ruzuku) ikawa ukipita mpakani tank lako lisizidi nusu kwa kuwa walikuwa wanajuwa mtu anajaza tank anavuka, anauza halafu anarudi tena mpaka walivyoondoa ruzuku wakaachia kwa kuwa haikuwa na faida tena kununua na kuuza upande wa pili.
Mbona Russia wamewauzia India mafuta kwa bei ya chini na Hakuna aliyepiga kelele huko Opec
 
This mus stop..

Hakuna haja ya kutesa wananchi bila sababu....
Udalali sio kitu kizuri kwa taifa lolote changa kama la kwetu.
Hiyo sio biashara ni uhuni....

Na kama EWURA wameshindwa waache twende kiholela kuliko kuwa na a buch of people paid by tax payers money doing nothing and or protecting the interests of cartels......

Mnaharibu image ya nchi kwa vitu visivyo na maana..

Kwahiyo hata umeme kukatika mara kwa mara ni short supply ya soko la Dunia?

Lakin mkuu huoni kua mteja hapangi bei siku zote.
Alaf ni soko la dunia limepanda asa tutalazimisha kununua bei ya zaman akati wao wamepandisha bei
Au hizi bei ni kwetu tuh tz
 
Back
Top Bottom