Haya mambo ya kuagiza bulk ime fail vibaya ina mianya ya rushwa sana ni wakati wa kurudi kulekule mwenye uwezo alete tu mafuta halafu washindane sokoni hakuna kitu bei elekezi tuache ushindani wa biashara maana mafuta bei zake ni soko la dunia ndiko bei inacheza kutegemea demend and supply na wale wanaitwa speculators ndio wanachochea bei kucheza. Kuna haja kubwa ya kuja na mfumo mpya hakuna tender kampuni inataka kuleta mafuta iombe lincence ikifika vigezo wapewe license ushindani uwepo. EWURA kazi iwe kujuwa tu mzigo unaingia lini na mafuta yako yakutosha basi, sio bei.