EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

Kama issue ni kupanda kwa gharama kwenye soko la Dunia. Kwanini serikali isiondoe milolongo ya kodi ili kupunguza gharama ya bidhaa hii muhimu kwa wananchi katika kipindi hichi na waje kuzirudisha hizo kodi pale bei itakaposhuka?
 
This mus stop..

Hakuna haja ya kutesa wananchi bila sababu....
Udalali sio kitu kizuri kwa taifa lolote changa kama la kwetu.
Hiyo sio biashara ni uhuni....

Na kama EWURA wameshindwa waache twende kiholela kuliko kuwa na a buch of people paid by tax payers money doing nothing and or protecting the interests of cartels......

Mnaharibu image ya nchi kwa vitu visivyo na maana..

Kwahiyo hata umeme kukatika mara kwa mara ni short supply ya soko la Dunia?
Kwani wewe ulikatazwa kununuwa na kuleta mafuta ya bei poa?

Unangoja nini badala ya porojo?
 
Tatizo Biashara hii imeachiwa madalali. EWURA nao nikama wanakula hela zetu Buretu wako upande wa Madalali.

SERIKALI nayo nikama imefumba macho wananchi tuteseke na mfumuko huu wa bei.


SERIKALI ingetumia Busara kupunguza baadhi ya kodi kwenye Mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.

Ngombe Anaanguka maana Anakamuliwa sana SERIKALI muwe na uruma kwenye hili Maisha ya Watanzania yanazidi kuwa magumu sana.
 
Kipindi cha Magu huko Opec walikuwa wanamuogopa? Bei hazikuwa hizi.

Afu BOT watakwambia hakuna mfumuko wa bei.
Nadhani hapa sio suala la JPM, kumbuka wakati wa JPM kuna muda mrefu issue ya corona duniani demand ya mafuta ilikuwa chini duniani ilifika mpaka pipa wakati ule chini ya dola 50, leo au jana tu pipa la brent limefika dola 90$ na utabiri ni kuwa mpaka mwakani 2024 bei inaweza kufika 150$ kwa pipa. Hii ndio hali halisi, mafuta yanaamuliwa na soko la dunia. Ila kama serikali ni wajibu wa kuchukua hatua za muda mrefu ilikuwa ni muhimu kuondoa ushuru katika magari ya umeme au solar ili tech iweze kuingia na kupunguza matumizi makubwa ya mafuta. Kuondoa ushuru kufanya bi-fuel tech itumike kwa wingi, sababu kuu bei ya mafuta haitabiriki ila wataalamu wameshasema bei itaendelea kupanda trend inaenda juu na hili huwezi kuepuka. Hata nchi zenye kuzalisha mafuta bei zimepanda kwenye pump station. Njia nyingine wangepandisha zaidi kwenye petrol kufidia diesel kwa sababu Petrol ni matumizi binafsi zaidi lakini diesel inatumika kwenye uzalishaji zaidi na logistic.
 
Back
Top Bottom