much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Yeye ndo aliyeasisi huu mfumo na cartels kwenye hii biashara ambayo kuivunja yakupasa ufanye kazi?Afadhali Makamba hayupo maana zingeshuka nyuzi humu, mtu wa watu hana kosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndo aliyeasisi huu mfumo na cartels kwenye hii biashara ambayo kuivunja yakupasa ufanye kazi?Afadhali Makamba hayupo maana zingeshuka nyuzi humu, mtu wa watu hana kosa.
Kwani wewe ulikatazwa kununuwa na kuleta mafuta ya bei poa?This mus stop..
Hakuna haja ya kutesa wananchi bila sababu....
Udalali sio kitu kizuri kwa taifa lolote changa kama la kwetu.
Hiyo sio biashara ni uhuni....
Na kama EWURA wameshindwa waache twende kiholela kuliko kuwa na a buch of people paid by tax payers money doing nothing and or protecting the interests of cartels......
Mnaharibu image ya nchi kwa vitu visivyo na maana..
Kwahiyo hata umeme kukatika mara kwa mara ni short supply ya soko la Dunia?
NakaziaKuendesha gari binafsi soon innanza kuwa anasa.
Kwani lini na wapi kutumia gari binafsi haijawahi kuwa anasa?Kuendesha gari binafsi soon innanza kuwa anasa.
Mwanza ,Kigoma,Mara,Katavi yatauzwa elf 4 sasa
Huko kote watu wanafahamu namna ya kutumia nyungo na fisi kusafiria, wala hakuna shida ya usàfiri.Mwanza ,Kigoma,Mara,Katavi yatauzwa elf 4 sasa
Umeona...Afadhali Makamba hayupo maana zingeshuka nyuzi humu, mtu wa watu hana kosa.
Halafu wanasema bei ya September, sijui uiangizaji wa pamoja umefia wapi? Kama yaliagizwa July inakuwaje bei iwe ya September!!!!!!!!...Kama dar Bei ndo Hii,
Mlioko kagera na kigoma msipouziwa Lita elfu4 Sijui[emoji848]
Mkiwakubali DP world na wao wanashusha mafutaNakumbushia,
Mume wa spika ndie boss wa EWURA[emoji40]
Nadhani hapa sio suala la JPM, kumbuka wakati wa JPM kuna muda mrefu issue ya corona duniani demand ya mafuta ilikuwa chini duniani ilifika mpaka pipa wakati ule chini ya dola 50, leo au jana tu pipa la brent limefika dola 90$ na utabiri ni kuwa mpaka mwakani 2024 bei inaweza kufika 150$ kwa pipa. Hii ndio hali halisi, mafuta yanaamuliwa na soko la dunia. Ila kama serikali ni wajibu wa kuchukua hatua za muda mrefu ilikuwa ni muhimu kuondoa ushuru katika magari ya umeme au solar ili tech iweze kuingia na kupunguza matumizi makubwa ya mafuta. Kuondoa ushuru kufanya bi-fuel tech itumike kwa wingi, sababu kuu bei ya mafuta haitabiriki ila wataalamu wameshasema bei itaendelea kupanda trend inaenda juu na hili huwezi kuepuka. Hata nchi zenye kuzalisha mafuta bei zimepanda kwenye pump station. Njia nyingine wangepandisha zaidi kwenye petrol kufidia diesel kwa sababu Petrol ni matumizi binafsi zaidi lakini diesel inatumika kwenye uzalishaji zaidi na logistic.Kipindi cha Magu huko Opec walikuwa wanamuogopa? Bei hazikuwa hizi.
Afu BOT watakwambia hakuna mfumuko wa bei.
Wewe jamaa nilijua una akili timamu kumbe hamna kitu kabisa.Afadhali Makamba hayupo maana zingeshuka nyuzi humu, mtu wa watu hana kosa.