EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

Issue ni hiyo statement kuwa Bei ya mafuta imepanda Kwa 21% kwenye soko la Dunia na pia gharama za uagizaji zimeongezeka Kwa 62%. Huo ni UWONGO.
Mibunge yetu nayo mamamake hata haihoji imekarisha makengele tu kwenye viti! Huu no uongo wa mchana kweupe. Hakuna bei iliyopanda huko kwenye soko la dunia. Bei imesimamia kwenye $86 kwa barrel bei ambayo ni ya muda mrefu!
 
Wewe jamaa nilijua una akili timamu kumbe hamna kitu kabisa.

Hii laana yote ni mavuno ya makamba,wamemtoa hapo kumfichia aibu tu.
Trillions of hela za maintenance umeme unarudi Sasa hivi toka ukatike Jana. Fisadi nyiee
Jaribu kufanya utafiti maana hata hujui tatizo lipo wapi ,acha kufuata mkumbo wa wanasiasa.
 
Niende zangu nakonde zambia nikajaze full tank harrier kwa 80,000 na nna kaa Mbeya mjini sioni hasara ya kilometa 100 za kufika Tunduma. Anko matai alisema kama maisha magumu tuende nchi za jirani
 
Mbona Russia wamewauzia India mafuta kwa bei ya chini na Hakuna aliyepiga kelele huko Opec
 

Lakin mkuu huoni kua mteja hapangi bei siku zote.
Alaf ni soko la dunia limepanda asa tutalazimisha kununua bei ya zaman akati wao wamepandisha bei
Au hizi bei ni kwetu tuh tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…