Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Kurudiana na EX wakati mwingine mazingira huchangia..!! Haya umeachana na mtu wako HUko Rombo, mkaachana mara paap mnaonana mpo labda MIAMI kila mtu hakujua kama mwenzie yupo maeneo hayo. Huko lazima mtarudiana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]you made my day wallah
 
Kurudiana na EX wakati mwingine mazingira huchangia..!! Haya umeachana na mtu wako HUko Rombo, mkaachana mara paap mnaonana mpo labda MIAMI kila mtu hakujua kama mwenzie yupo maeneo hayo. Huko lazima mtarudiana
Miami ya Iringa au?😄😄
 
X wangu alivofulia mwalim yule jaman.......namuona km zomvi,hamna Raha km kuona x kafulia jmn!!! Hahaaaaaaa
 
Alishikwa na wivu tu mkuu

Zungumza nae kuhusu hilo
 
Kurudiana na EX wakati mwingine mazingira huchangia..!! Haya umeachana na mtu wako HUko Rombo, mkaachana mara paap mnaonana mpo labda MIAMI kila mtu hakujua kama mwenzie yupo maeneo hayo. Huko lazima mtarudiana
Sure mkuu wala sio uongo
 
Binafsi simshauli mtu kumrudia x huwa wanazingua sana hurudi Kama malaika miezi mitano mbele huendelea na mambo yaleyale yaliofanya muachane... Toa mti weka mti full stop sitaki mazoea

Sahihi sana
 
Hivi kwani ni lazima wote tuoe ,achana na ndoa acha mahusiano fanya vitu vya msingi
 
Kwani wewe SI ulisemaga ni msagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…