YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Naomba u Ex na wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haiwezekani wewe sio ex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba u Ex na wewe
Hapo umesema kiporo lazima.tupashe
Ulimuonesha kaburi la ex mpya? (Baba mtoto)
Siku wakiitwa wanaume malofa mbele mbebe huyo mmeo msindikize kwa vigelegele huku mkisonga mbele ....maana sio kwa uzoba huo
Very inspiring
Lakini mnatuacha sana wanawake yaaani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yana muda basii..!! Huyo huyo anayesema USIOE, KATAA NDOA.. ipo siku atatamani angekuwa ameshaoa na ana famili inayoishi pamojaSio mda kuna jamaa atasema...
USIOE
KATAA NDOA
Yule manzi bana ni pasua kichwa.
Tulifunga mkataba ghafla.
Siku si nyingi mshale ukasoma full ikabd tutaftane kupunguza kibuyu.
Tukiwa katikati ya mirindimo ya pwani nkasukuma nyama nkashangaa wigi linaruka linaangukia uoande mwingine wa kitanda nmebaki na twende kilioni zinanishangaa.
Nkawazaaa, hv hii maisha mpka lini?
Nkafunga muamala mpka leo.
Popote ulipo uende salama.
Kunguni maji wahed kbsa bladihenken!
Tena atupe na kadi za mchango tumchangie maana huyo amepitiliza mpaka level ya uzobaSiku wakiitwa wanaume malofa mbele mbebe huyo mmeo msindikize kwa vigelegele huku mkisonga mbele ....maana sio kwa uzoba huo
Miami ya Iringa au?😄😄Kurudiana na EX wakati mwingine mazingira huchangia..!! Haya umeachana na mtu wako HUko Rombo, mkaachana mara paap mnaonana mpo labda MIAMI kila mtu hakujua kama mwenzie yupo maeneo hayo. Huko lazima mtarudiana
Ukishacomment ww siendelei kusoma😀We vuta chombo kipya mtoto namba E achana na hizo carina namba A
X wangu alivofulia mwalim yule jaman.......namuona km zomvi,hamna Raha km kuona x kafulia jmn!!! HahaaaaaaaNajua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua
Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship
Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi
Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia
Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??
Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha
Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu
View attachment 2490414
Alishikwa na wivu tu mkuuMe juzi nimekutana na EX wangu tukapeana namba vizuri tu, Usiku kapiga sasa simu sikuisikia nililala, asubuhi nakuta sms "Saizi ushapata mtu wa kuku**mba vizuri huna haja tena na mm" nikasema kimoyomoyo https://jamii.app/JFUserGuide youuuu !!!!
Nikajuta sana kumpa namba yangu.....
Alafu mtu wa hivi nirudiane naye????????
I appreciate your opennessIt's up to you kama unaona ana-deserve it's okay....binafsi kwa upande wangu sirudiagi ma-ex hata kama anastahili,,,nimeshajiwekea iyo code.
Sure mkuu wala sio uongoKurudiana na EX wakati mwingine mazingira huchangia..!! Haya umeachana na mtu wako HUko Rombo, mkaachana mara paap mnaonana mpo labda MIAMI kila mtu hakujua kama mwenzie yupo maeneo hayo. Huko lazima mtarudiana
Binafsi simshauli mtu kumrudia x huwa wanazingua sana hurudi Kama malaika miezi mitano mbele huendelea na mambo yaleyale yaliofanya muachane... Toa mti weka mti full stop sitaki mazoea
Hivi kwani ni lazima wote tuoe ,achana na ndoa acha mahusiano fanya vitu vya msingiNajua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua
Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship
Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi
Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia
Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??
Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha
Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu
View attachment 2490414
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaa.Mnakuja PM kuna kikao
Kwani wewe SI ulisemaga ni msagajiKwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.