Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
-
- #61
Whoa, alikufanyaje huyo jamaa katili?Japokuwa sisapoti neno “ex harudiwi” sababu destiny ya mtu anaijua Mungu, LAKINI… nilisamehe makosa nikajiambia second chances zipo nikarudia ex …khaaaaa! Alikuja na vibe bovuuuuu kupitiliza yani! Akanitoka mazima mazima rasmi! YaNi Ptuuuu!!!! Sikuwahi jua jamaa ana roho mbaya kuliko shetani,
Mkuu mligombana kisa tabia yake ya kuvaa wigi linalochomoka chomoka?Yule manzi bana ni pasua kichwa.
Tulifunga mkataba ghafla.
Siku si nyingi mshale ukasoma full ikabd tutaftane kupunguza kibuyu.
Tukiwa katikati ya mirindimo ya pwani nkasukuma nyama nkashangaa wigi linaruka linaangukia uoande mwingine wa kitanda nmebaki na twende kilioni zinanishangaa.
Nkawazaaa, hv hii maisha mpka lini?
Nkafunga muamala mpka leo.
Popote ulipo uende salama.
Kunguni maji wahed kbsa bladihenken!
Nzuri hiiKwenye pirika pirika tu ilitokea na yeye mwenyewe alikiwa kwenye pirika pirika zake basi tukaonana, ilikiwa ni baada ya muda mrefu so ilikuwa ni best opportunity 4 each other.
Tulienda restaurant akalipa, tukaenda kupata moja baridi moja moto nikalipa tukatoka haoooo mpaka geto nikapiga mchinji mpaka kesho yake jioni mida ya saa moja akaondoka hatujaonana tena npaka leo.
Yaan watu hawaKilichofanya tuachane hakikubadilika hata baada ya kurudiana hivyo nikaona ya nn kujipa shida. Aliniacha kwa dharau, alikua kitombi kupita maelezo. Alirudi akaomba msamaha sababu nilikua nampenda bado nikakubali. Akaendeleza tabia zake nilikuja nikamtimua mazima.
Alikufanya nini this time mpaka ukambwaga ?Alikuja kwa please nyingi + Mtoto alikuwa Chips kidogo Nyama nyingi..Nakumbuka niliangusha Mbuyu kibabe na ndani ya wiki 1 Nikabwaga Jumla..
Hilo halisameheki wala halivumilikiNYIEEE!....kuna vitu,usaliti,tabia hazna mbadala wa kurudiana.mathalani umemfuma mwenza laivu akigawana uroda,kwa kwl kwangu ni ngumu kuishi na mtu wa namna hio!!!!
Nimekupata mkuuMrudie tu, bora huyo unae mjua kuliko majanga usiyoyaelewa
Kuna ving'ang'anizi ivo inabidi uombe mechi mkapigane kwanza atakayeshindwa atulie
Nimependa avatar yako mpya by the way,Kuna ving'ang'anizi ivo inabidi uombe mechi mkapigane kwanza atakayeshindwa atulie
Nitaitunza! ThanksNimependa avatar yako mpya by the way,
🤣
Nilisoma nkaona USIUEEwe Kijana usioe
Mkuu nimekata shauri siwezi ishi bachelor milele😂Ewe Kijana usioe
Tell us tukio gani hilo na kwanini umuumize mwenzio?😂Dah nilimpiga tukio anaogopa hata kuoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Dear ex utakufa single mi na enjoy huku
Kwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.