Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Nilirudiana na x wangu akaniibia vitu vyote vya ndani ulaaniwe huko uliko na mkomwe wako kama Solar za mobisol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
IMG_8132.jpg

Ukija mpata sasa[emoji16][emoji16]
 
inategemeana mmeachana mkiwa katika situation gani,
mfano mimi ma ex huwa ninawakumbuka na kuwamis kipindi nikiwa na nyege
nyege zikizidi huwa ninajirudisha kinyumenyumb3 kwa ma ex na wao hunipokea bwana wao bila hiyana tunaendelea na michezo yetu kwakuwa huwa siwaachagi kwa maumivu,,ila shariti mpime hawachelewagi kupata ngoma
 
Wote niliowah kuachana nao sabab ilikuwa ni distance

Maisha baada ya kurudiana yanategemea nani alimwacha mwenzako na kwanini

Kwa mfano ulimwacha mwanamke kwasabab ni mlevi leo hii je huo ulevi kauacha au wewe umeona it's ok utampokea na ulevi wake?

Ulimuacha kisa alikucheat swali je unategemea hutachitiwa tena au utamvumilia hata akikucheat?

Ulimwacha kisa domo je kaacha domo au utampokea na domo lake?

So inategemea nan alimwacha nani na kwanini na nini kilisababisha, je mmoja yupo tayari kubadirika au mwingine kumkubali mwenzie kama alivyo

Kwenye kubadilika mtu zingatia zile tabia ambazo mtu hawez acha kirahisi
 
inategemeana mmeachana mkiwa katika situation gani,
mfano mimi ma ex huwa ninawakumbuka na kuwamis kipindi nikiwa na nyege
nyege zikizidi huwa ninajirudisha kinyumenyumb3 kwa ma ex na wao hunipokea bwana wao bila hiyana tunaendelea na michezo yetu kwakuwa huwa siwaachagi kwa maumivu,,ila shariti mpime hawachelewagi kupata ngoma
Unaposema hawachelewagi unamaanisha nini kujitoa wakati wewe na wao mpo kwenye kundi moja la watu wasiojitambua.
 
Kuna sababu 2 tu huwa naona ni sawa iwapo mtu ataamua kurudi kwenye mahusiano ya zamani:

1. Maamuzi ya mihemko. Unaachana kwa mhemko inayotokana hasira bila sababu za msingi.
2. Pride. Mliachana kuonyesha tu kuwa unaweza kuishi bila yeye.

Kinyume na hizo sababu 2, Mtu mliyeachana mheshimu ila usimrudie.
 
Back
Top Bottom