Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Majanga, na wao, wahala!

Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?

Kwani wadada wa Tz wana shida gani?

Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri




Angalia current girl friend jamaan



Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu atawezana na lifestyle ya Nigerian Babe?

Nyie jamaan nyieee me mambo ya aibu staki kabisa kuandikwa vibaya watanzania kuja kutukanwa kwenye ma blogs ujue, sipendi kabisa
 
watoto wa maskini wengi wao wanakuwaga wazuri sana ila kuna vitu vingi sana wamenyimwa ila uzuri tu ndiyo wamepewa;

watoto wanao toka familia za kitajiri wengi wao wanakuwaga sio wakali sanaaaaa ila kuna upoaji wao wanao ni noma sanaaa na wamepewa vingi pia kuanzia busara namna yakufikiri hata ukiwa unaongea naye unajua unaongea na mtu
 
Tatizo hujui chumbani anapewa nini
 
Kwahiyo unamwambiaje Jux?
Arudi Tz kwa mtoto gan maskini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…