Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Halafu nusu ya mwili wake ni full surgery..Demu mzuri ila kabandika kope, kabandika nywele, na makucha km dracula. Halafu kavaa nusu uchi. Hapo hakuna uzuri. Say no to uzuri wa kununua 🤪🤑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu nusu ya mwili wake ni full surgery..Demu mzuri ila kabandika kope, kabandika nywele, na makucha km dracula. Halafu kavaa nusu uchi. Hapo hakuna uzuri. Say no to uzuri wa kununua 🤪🤑
Mnaangalia akili za kusaidia watoto Homework....si eti?😅Mda mwingine hatuangalii uzuri wa sura na umbo tu🤔
Jamani kwani mwanamke kumcheat mwanaume nalo ni jambo la makasiriko? Wee wacha mke nae akapate ladha tofauti huko njeWalaa. Wanaume mnapigwa na vitu vizito maskini.
We demu ataacha kukuchiti km mpk mwili wake keshauchiti!!!😜😜😜
Aisee! Ambao hatukwenda shule ni shida...Shicha Mbe 'Oko kanyi....
Mbonyi nsa' hivo?
Kwa hio ukimfuma mkeo ana cheat kwako poa tu.Jamani kwani mwanamke kumcheat mwanaume nalo ni jambo la makasiriko? Wee wacha mke nae akapate ladha tofauti huko nje
Mno ila hata akiwa mrembo na akili sio mbaya😁Mnaangalia akili za kusaidia watoto Homework....si eti?😅
Mjanja sana, pisi nyeusi ni nzuri mno.Jux anapataga watoto wazuri
Nitamind pale tuu atakapo kataa threesome na huyo jamaaaKwa hio ukimfuma mkeo ana cheat kwako poa tu.
Vipi wa kinyaturu?Vanessa Mdee hata mimi simtaki.
Sababu ya pili ni Mwanaume ukizaliwa tu kitu cha kwanza unachotakiwa kukiepuka ni mwanamke wa kipare.
Mmakonde wa Shangani mtwaraJux ndo nani hapo daresalam
Midomo ganMidomo ya ivyo vina gubu qqmk.
Kwan wana nini?Vanessa Mdee hata mimi simtaki.
Sababu ya pili ni Mwanaume ukizaliwa tu kitu cha kwanza unachotakiwa kukiepuka ni mwanamke wa kipare.
Naangalia niniMda mwingine hatuangalii uzuri wa sura na umbo tu🤔
Mbona ex kwao wana hela mbayaamwacheni kijana apoe hapa hata akili itafunguka;
uyu binti mpunga kwake inaonekana sio tatizo kabisa la kijana wangu kuwaza maana binti amekulia kwenye pesa ya kutosha so sio mgeni sana nayo
Ndani mkuu🤗M
Naangalia nini
Kigezo ni nini?Kuna wanawake ni warembo lakini kukaa nae mwezi hutoboi.
Kweli, uzuri si kigezo pekee..