min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sio mimi ,nitoe😆Wenye nidham za woga ntawafungulia uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mimi ,nitoe😆Wenye nidham za woga ntawafungulia uzi
😅😅manka mamboKiru
We umeoa Urusi at Tanganyika?Uyo mtoto wa ki Nigeria ni bonge moja la demu wanawake wa ki Nigeria wana akili za kibepari tofauti na wanawake wa ki bongo Wenye akili za kijamaa uzuri sio muonekano tu Mind set ya mtu ni moja ya sababu kubwa sana inaongeza samani Kwa mtu ushajiuliza kwanini wanawake wa Kenya Kwa muonekano wa Macho hawavuti sana kuliko wanawake wa Ki Tanzania lakini wanawake wa Kenya wanaongoza kuolewa nje ya nchi Yao na Wana soko kubwa kimataifa ao wanawake wa Kenya na Nigeria ni mabepari ao ata wakikupenda hawakufumbi macho wanakutongoza nyinyi endeleni kusema nyinyi ni wazuri wakati mmejifunga Kwa small box
Ni nan?Vipi wa kinyaturu?
MwongoooMmakonde wa Shangani mtwara
Ndani wapNdani mkuu🤗
Poyeee😁😁😁😁😁Kabisa ngoja nitafute
Kama hela na exposure ex pia anazoMkuu toka huko, unapoamua kuwa na demu kuna vitu vingi watu wanaangalia sio uzuri tu peke yake utafeli
Hahahahaha haukeshi kweli hahahaaDada yetu ahsante kwa kutukumbusha. Lakini nikwambie tu; Yuko Wapi Ben Pol na yule Binti wa Kitajiri toka Kenya?
Yuko wapi Diamond na Zari the Boss Lady. Yuko wapi Mwisho Mwampamba. Yuko wapi Kibu Denga na Mzungu wake. Kwa kifupi hasa mastaa Mahusiano yao ni kama moto wa Mshumaa haukeshi!
Pouwa😅😅manka mambo
Watu hawaangalii hivyo peke yake jux anamjua vizuri kuliko wewe unayemuona tu mitandaoni na anajua kwa nini kaamua kuachana naeKama hela na exposure ex pia anazo
Ngoja kwanza tutafute pesa ,ndio tuanze kulalamika mkuu🤔Sasa hivi mapenzi ni biashara watu wana-date strategically, hii mbinu wanawake wamekua wakiitumia kwa muda mrefu naona miaka ya karibuni na wanaume wameifungua hii code., kuanzia Shakib mume wa zari, mpaka mabwana wote wa shilole. Bila shaka lengo la jux kwa huyu binti ni kipenya kwenye media za Nigeria.
Sawa PA wa JuxWatu hawaangalii hivyo peke yake jux anamjua vizuri kuliko wewe unayemuona tu mitandaoni na anajua kwa nini kaamua kuachana nae
Kwa mara ya kwanza mtu ame comment sense kwa uzi wanguSasa hivi mapenzi ni biashara watu wana-date strategically, hii mbinu wanawake wamekua wakiitumia kwa muda mrefu naona miaka ya karibuni na wanaume wameifungua hii code., kuanzia Shakib mume wa zari, mpaka mabwana wote wa shilole. Bila shaka lengo la jux kwa huyu binti ni kupenya kwenye media za Nigeria.
Uzuri humvuta mtu siku ya kwanza, ndilo jambo la kwanza mwanaume kushuhudia kabla ya yote, ndipo zinafuata sifa zingine tabia, usafi, akili n.k..Kigezo ni nini?
Hapana hata na wewe siku tukikuona na demu hatuwezi tukaanza kukuuliza mbona yule mzuri kuliko huyu, mademu wana mambo mengi sana ni very personal mattersSawa PA wa Jux
Bado sijabahatika kupata wife...vikwazo ni vitatu. Lack of capital, kibamia na kumwaga wadhungu ndni ya sekunde 20We wako wa nje au magomeni mapipa?