Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

Majanga, na wao, wahala!

Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?

Kwani wadada wa Tz wana shida gani?

Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
View attachment 3092175

View attachment 3092177

Angalia current girl friend jamaan

View attachment 3092178

Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu atawezana na lifestyle ya Nigerian Babe?

Nyie jamaan nyieee me mambo ya aibu staki kabisa kuandikwa vibaya watanzania kuja kutukanwa kwenye ma blogs ujue, sipendi kabisa
Apo waambie wakaoge watoe hayo ma mekapu,mawigi na vigodoro ndio utajua hamna demu apo.
 
Majanga, na wao, wahala!

Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?

Kwani wadada wa Tz wana shida gani?

Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
View attachment 3092175

View attachment 3092177

Angalia current girl friend jamaan

View attachment 3092178

Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu atawezana na lifestyle ya Nigerian Babe?

Nyie jamaan nyieee me mambo ya aibu staki kabisa kuandikwa vibaya watanzania kuja kutukanwa kwenye ma blogs ujue, sipendi kabisa
Ulimbo mtupu, Jux asilaumiwe kunasa humu Money Penny 💕
 
Huyo umeweka hapo wala sio ex wa jux...
Ex wake ni Karen Bujulu. And of course kwa muonokano wa nje Karen ni pisi kuliko mademu wote wa Jux aliowahi kuwa nao hadharani.

Tukirudi kwenye point kila mtu ana uhuru wa kupenda popote muhimu kuenjoy the moment.
halafu jux ni kaka wa makamo atakua mpumbavu kupelekeshwa na mapenzi at 35

kama umemuelewa sana ex wa Jux na una kaka ana mpunga basi muungashe nae. Maana binti anadanga tu mjini, ukitoa upisi kali hajulikani ana shughuli gani mjini

For Jux na contena jipya... ikawe heri, wafunge ndoa wakapate na watoto
 
Attachments

  • Screenshot_20240910_212808_Chrome.jpg
    Screenshot_20240910_212808_Chrome.jpg
    272.5 KB · Views: 5
Kama hela na exposure ex pia anazo
Ex huyu huyu anayedanga kwa mbunge wa mahenge????
Wenye hela wanahongwa harrier tena za kizamani???
Acha uongo bwana, Karen wala sio wa kishua, na page yake hana shughuli anayofanya sio employed wala self employed... hata uinfluencer umemshinda pamoja na kuwa na look matata mixer ngozi nzuriiiiii
 
Huyo umeweka hapo wala sio ex wa jux...
Ex wake ni Karen Bujulu. And of course kwa muonokano wa nje Karen ni pisi kuliko mademu wote wa Jux aliowahi kuwa nao hadharani.

Tukirudi kwenye point kila mtu ana uhuru wa kupenda popote muhimu kuenjoy the moment.
halafu jux ni kaka wa makamo atakua mpumbavu kupelekeshwa na mapenzi at 35

kama umemuelewa sana ex wa Jux na una kaka ana mpunga basi muungashe nae. Maana binti anadanga tu mjini, ukitoa upisi kali hajulikani ana shughuli gani mjini

For Jux na contena jipya... ikawe heri, wafunge ndoa wakapate na watoto

wale wa summary, alichosema mwamba Nuru2023 ni tamu ya peremende ni mate yako
 
Majanga, na wao, wahala!

Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?

Kwani wadada wa Tz wana shida gani?

Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
View attachment 3092175

View attachment 3092177

Angalia current girl friend jamaan

View attachment 3092178

Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu atawezana na lifestyle ya Nigerian Babe?

Nyie jamaan nyieee me mambo ya aibu staki kabisa kuandikwa vibaya watanzania kuja kutukanwa kwenye ma blogs ujue, sipendi kabisa
Ulishatembea nao ukafahamu uzuri wao?
 
Back
Top Bottom