Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #141
Kweli kabisa. Ipo common factor kwa hao wawili, ni warembo wa mchongo.
Anataka mwanamke mwenye dimples kwenye Mahips yake, nifanyaje?
Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake kubwa ni kuwa; Bwana wake amemuacha, kabla hajaachwa akamwuliza bwana wake, kwanini unaniacha...