Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

Majanga, na wao, wahala!

Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?

Kwani wadada wa Tz wana shida gani?

Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
View attachment 3092175

View attachment 3092177

Angalia current girl friend jamaan

View attachment 3092178

Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu atawezana na lifestyle ya Nigerian Babe?

Nyie jamaan nyieee me mambo ya aibu staki kabisa kuandikwa vibaya watanzania kuja kutukanwa kwenye ma blogs ujue, sipendi kabisa
Uzuri wa kitu au mtu uta depend na vigezo vya muhusika, si watu wengine.
Lakini pia kuna suala la chemistry
 
Back
Top Bottom