EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

No hard feelings yani, si nilikula wakati wangu bwana, waendelee wengine ni zamu yao.

Let them prosper yani, kwani wakifanikiwa mimi naumia nini.

Ila kina ex huyo akijichanganya tu napiga tena[emoji23][emoji23][emoji23](kidding)
Hivi unajua nipo Sumbawanga eeh?
 
Namlaani kwa sababu alikuwa anatuchanganya mimi na house boy wangu...yaani house boy wangu alikuwa anampiga pumbu yule mdada kwani alikuwa demu wake ila mimi nilikuja kujuwa baadaye baada ya mfanyakazi kwenda kwao kuoa. Simbariki kwa lolote kwani hana lolote la maana kwangu amenitia kichefuchefu tu, nililala naye tu kwa sababu alikuwa desperate kulala na mimi.
 
Naona bwana shetani hataki kabisa maendeleo yangu. Nilikuwa nimeshajipanga kabisa yaani na kitu cha 70, ghafla imeyeyuka yoote[emoji2297][emoji2297]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tutaongea tulimalize. Bado tuna nafasi.
 
Linapofikia suala la kuachana ni Wanawake wachache sana hukubaliana na hali. Wengi huishia kujenga visasi na Visa ikiwemo kutumia njia mbadala za Shirki ili kukutia adabu.

Mbarikiwe sana mnaoachana kwa amani na kututakia kheri. Kongole kwa luckyline , miss pablo , Chakorii , cocastic n.k nimeona mlivyoonesha ukomavu kwenye comments zenuπŸ‘πŸ‘πŸ’ͺ

Kuna wakati tuna date sio kwa malengo ya kuanzisha familia na ndoa ila Ku have funny tu na kupata experience ya Tendo na Mitindo 😜

Niwatakie maisha mema maX wote tuliohusiana.

Ingekuwa enzi zile za miaka 47 hakuna Homa ya Ini na maUkimwi tungekuwa tunapasha Kiporo. Ila kwa sababu hizo, tuendelee kuombeana Kheri tu.

Mkisikia nimekufa msiache kuja kuniwekea Mashada, hata kama itahusisha kuvunja geti la Home πŸ˜ͺ
 
Hii roho umeitoa wapi shem! Muombee mema ili nawe ubarikiwe, kwani mlivyokuwa wote hukuenjoy nae?[emoji39][emoji39]
Roho ipi Shem? Ya kutowaombea?

Shem.. Ikumbukwe mnaweza kuachana kwa sababu mbalimbali..

Mnaweza Kuachana kwa Makubaliano na Kwa Uzuri kabisa.. Huyu nitamuombea... Kuna yule mnaachana hadi mwenyewe ukikaa chini unasema afadhali limeniepuka na wengine wakajaribu.. Aina hii sitaki kuwa mnafiki.. Naomba niishie hapa.
 
Hapana kila nikijitahidi kumuombea mema nashindwa,
Karma ikakutane nae kokote aliko, alichonifanyia akafanyiwe ili agundue ni maumivu kiasi gani alinipatia.
Mbwa yule
 
Hahhaa ex avunje geti kukuwekea shada eeh?
 
[emoji38][emoji38][emoji38] kwa kweli hutaki unafiki
 
Una ex mmoja babe Chakorii ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii roho sio poa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…