EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

S
Nikiona mtoto wa mtu ananizingua uwa nasepa kimyakimya hakuna mambo ya malumbano wala nini,

So sijawahi kumwambia mtoto wa mtu kuwa nimekuacha au tuachane ,Mimi pia sijawahi ambiwa ivyo.

Uwa ni kimyakimya tu na tunaishi fleshi.
asa wewe omba kila siku uwe unaacha.siku ukiachwa na bado unampenda..walai utaimba nyimbo za kisifu na kuabudu pamoja
 
Ni rahisi.... Ukiona mwenzako ndio anataka kukuacha jaribu kukubaliana na hali alafu tengeneza mazingira ya kumfanya rafiki wa kawaida.

Kwa upande wangu huwa sivunji mahusiano kizembe bora niendelee nayo kwa uvivu yakajivunjikie yenyewe
Unamaisha ya furaha sana
 
Sitaki kusema mabaya kwa mtu ambaye hayupo kwenye maisha yangu maneno huumba, huwa sipendagi kukutana na Ex wangu.
Kwanini hupendi kutana nao wakati mmeachana vizuri?
 
me nina Y wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…