nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2 inaendelea, nazishukuru utu uzima hekima ina nguvu kuzidi mwili na hisia.
Na pengine naweza kutoa backup vijana wawahi kuoa mabinti 18 - 21, kadri wanavyosubiri, body count kwa wake zao zinaongezeka, kuwa na mahusiano mengi serious tunaweza chukulia ni jambo la kawaida lakini ni jambo zito sana.