Na pengine naweza kutoa backup vijana wawahi kuoa mabinti 18 - 21, kadri wanavyosubiri, body count kwa wake zao zinaongezeka, kuwa na mahusiano mengi serious tunaweza chukulia ni jambo la kawaida lakini ni jambo zito sana.
nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2 inaendelea, ni vile tu hekima za utu uzima na busara zinasaidia, ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake na huwa ananichana live hata nikijaribu kwa kutania.