Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Kweli mkuu maisha yanaenda kasi sana. Siku hizi jf imetawaliwa na mada za kipuuzi sana.Huu ni ujinga wa kujitakia. Yaani unataka wanaume tujadili kuonwa status?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu maisha yanaenda kasi sana. Siku hizi jf imetawaliwa na mada za kipuuzi sana.Huu ni ujinga wa kujitakia. Yaani unataka wanaume tujadili kuonwa status?
Kwani lengo la kuweka status ni lipi?Habari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndo mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsaap.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. nilifuta namba yake na picha zake zote. lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.
Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndo attention anayosubir kuona text yangu.
Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.
Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.
Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.
Naomba msaada, au ndo features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.
Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.
Msaada sipendi aone status zangu.
Umevurugwa wewe siku hizi comments zako 🤣🤣🤣Kavipi muue
Ina maana huwa anaangalia kama ex wake ameview.🤣Utakuwa unampenda bado. Kwani akiona unapungukiwa na nini au unazidiwa na nini???
Uzinzi huo na laana,mkishapita kiporo cha nini yabakie mengine tuMa ex Wanaokoaga penalty muhimu sana sana, acha ujinga
Una miaka mingapi?Uzinzi huo na laana,mkishapita kiporo cha nini yabakie mengine tu
YoteUna miaka mingapi?