Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Change nani aone status zako kama hutaki aone..!! By the way inakusumbua nini akiona? Wewe unaona kuwa kaona kwa sababu yeye bado kaku-save. Kwa vile wewe hujam-save, utaona jina analolitumia kwenye whatsapp yakeHabari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.
Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.
Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.
Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.
Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.
Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.
Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.
Msaada sipendi aone status zangu.
Na amesema hataki kumblockHiyo namba yake umefuta jina. Hujafuta namba. Sijui kama utanielewa. Yaani unaweza kusave namba ya mtu bila jina na ndicho ulichofanya bila ya kujua.
Ninasikirika mmekimbilia ka kipengele kadogo na mkaacha hoja ya msingi ambayo ni....Utoto
Nado hujajibu hoja yake.Ingia kwenye settings za whatsapp, angalia status, chagua nani aone status yako kuwa contacts only.
Jibu hoja kitaalam lwanza achana na hayo...inawezekanaje mtu aone status zako na huna namba yake?...Ma ex Wanaokoaga penalty muhimu sana sana, acha ujinga
Mkuu humu wengi wanawaza zaidi huyo ex hawajaelewa unachotaka....wamejikita kwa ex.Mkuu, umefuta namba ya mtu alafu bado anaona status zako, haingii akilini. cos najiuliz maybe amehack simu yangu
Nado hujajibu hoja yake.
Hoja yake ni kuwa hii inawezekanaje usiye na nba zake aone status zako?
Atakua mchawi. Na yeye kwanini afuatilie? Atafute shughuli awe busyJibu hoja kitaalam lwanza achana na hayo...inawezekanaje mtu aone status zako na huna namba yake?...
Wakuu tuwe tunapanua wigo wa kufikiri.Atakua mchawi. Na yeye kwanini afuatilie? Atafute shughuli awe busy
Wewe umejaribu kujibu vyemaInawezekana ikiwa umeweka option ya mtu yeyote kuona. Hii haijalishi as long as ana namba yako ataona.
Change nani aone status zako kama hutaki aone..!! By the way inakusumbua nini akiona? Wewe unaona kuwa kaona kwa sababu yeye bado kaku-save. Kwa vile wewe hujam-save, utaona jina analolitumia kwenye whatsapp yake
Sijasave number mkuu, nimeangalia namba yake sijasave,Jibu la tatizo lako ni hili hapa[emoji115][emoji115][emoji115]