alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Wewe kufuta namba yake haina uhusiano na yeye kutoona status zako, hiyo ni kwa sababu yeye ame save namba yako kwakeMkuu, umefuta namba ya mtu alafu bado anaona status zako, haingii akilini. cos najiuliz maybe amehack simu yangu