Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

Wakuu tuwe tunapanua wigo wa kufikiri.
Hatujui status zake zinahusu nini na ujue siku hizi stqtus ni moja ya platfom ya biashara.
Huenda anafuatiliaga kuwa tqngqzo lake limewafikia wqngqpi.
Anapokagua na kufuatilia anashangaa kuona kuwa aliyekuwa wanakojo..za..na naye ame view😂😂😂😅
Sio dhambi, kama wameshindwana kwenye ngono wanaweza wakafanya biashara nyingine, kwangu sioni tatizo kwanini anahangaika nae. Utawakimbia wangapi au utafuta namba za wangapi?
 
Bado unawaza kitoto😂😂😂
Mshangao ni vipi amefanya ku view status wakati namba umefutwa...jibu hili
 
Sijasave number mkuu, nimeangalia namba yake sijasave,
Hujanielewa.
NI kwamba anayeweza kuona status zako unaamua wewe. Nenda kwenye status, then settings halafu nenda status privacy. Hapo utakutana na options zifuatazo;

1. My contacts. Hii ukiichagua, ni kwamba kila uliyemsevu ATAONA status zako. Na vile vile kila aliyekusevu, hata kama wewe hujamsevu naye ATAONA status zako. Kwa ambaye umemsevu, jina ulilolisevu litatokea kila anapoangalia status zako. Ila kama hujamsevu, itatokea namba yake na jina lake analolitumia kwenye whatsApp.

2. My contacts. Hii my contacts ya pili, ni kwamba inakupa option ya kuchagua katika uliowasevu, nani ASIONE status zako. Uliowachagua tu ndo HAWATAWEZA kuona status zako.

3. Only share with... Hii inakupa option ya kuchagua katika uliowasevu, nani AONE status zako. Uliowachagua tu ndo WATAWEZA kuona status zako. Kifupi hii ni kinyume cha my contacts ya pili
 
Hauko safe kivipi mkuu?unaficha nini kwani??
Haipendezi kila ninachofanya mtu anajua, licha sina kitu cha kuficha lakini haipendez nikichat na mtu yeye anaina au nikiongea na mtu yeye anajua nimeongea na nani. hata kama hakuna cha maana tulichongea ila hapendez mtu kuwepo kat
 
Habari wangu.

Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.

Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.

Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.

Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.

Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.

Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.

Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.

Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.

Msaada sipendi aone status zangu.
Unajua kitu inaitwa Whatsapp GB?
 
Unajua kitu inaitwa Whatsapp GB?
Huu anatumua Iphone ya 14 pro max na mimi natumia 13 pro max, na ninavyomjua hawez kutumia hyo hata kama Iphone ingekuwa inasupport.

So szan kama ni GB
 
Sasa kama ni status za biashara, kwa ninj ukereke wakati wajua biashara matangazo?
Kifupi mimi siko nae, na sitaki ukaribu wake, na sitaki hajue mimi nafanya nini.
 
Acha kutupigia kelele, si umblock [emoji849]
Mimi sitaki kumblock, nikimblock number yake itabaki ka watu ambao nimeblock, ninachotaka nisiwe na mawasiliana yake. kila mtu afanye yake bila kuwa na namba yake
 
Habari wangu.

Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.

Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.

Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.

Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.

Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.

Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.

Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.

Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.

Msaada sipendi aone status zangu.
Imekaa vibaya ....Kali P
 
Mkuu, umefuta namba ya mtu alafu bado anaona status zako, haingii akilini. cos najiuliz maybe amehack simu yangu
Hujafuta ,ume hide tu.

Cha kufanya Uninstall WhatsApp ,kisha install upya, namba ambazo ulizi hide na zipo connected na WhatsApp zitafutika.
 
Habari wangu.

Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.

Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea mara tatu nyakati tofauti.

Siku nyingine baada ya kuona status yangu nilitaka nimuulize lakini naona hii namba haijaseviwa. Nashindwa kumuuliza cos ndio attention anayosubiri kuona text yangu.

Niliamua ku unfollow lakini bado tu anaona, nikafuta picha zake zote, lakini bado tu anaona, nimegoogle kutaka kujua jambo hili linawekanaje, bado sijapata majibu ya kuridhisha.

Nilitaka niweke hasiwe anaona status zangu, lakini mimi nataka nisiwe na namba yake kabisa, kublock haitonisaidia cos bado namba yake itakuwepo kwa watu nilioblock.

Nimejaribu mtu mwingine, lakini mambo ni tofauti, nifuta namba yake hawezi kuona status yake.

Naomba msaada, au ndio features mpya za whatsapp au kuna kitu gani amefanya.

Nime restart simu yangu maybe kuna mahali kafanya mchezo lakini wapi.

Msaada sipendi aone status zangu.
Bado mtoto ww. Watu wazima hawana x na hua hawafuti namba za watesi wao hili wanapofanikiwa watesi wao waone
 
Fanya mambo ya msingi, achana na suala la kutazama 'viewers'.
 
Back
Top Bottom