Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

Kuna baadhi ya simu huwa hazifuti namba bali zina hide, sumsung ina michezo hiyo. Hasa kama huyu mtu mpo naye kwenye magrup pamoja, na umesev namba zako gmail na sio kwenye line ama simu.
Pili inaonesha unampenda sana huyo x wako maana kama mmeachana hakutext na hakutafuti inakuuma nn ww akiangalia status zako.
3. Ibaonesha either ni mtoto ama mkubwa ila una akili za kitoto, why. Kuachana sio uadui kinachovunjwa hapo ni urafiki wa mapenzi ila bado mnakuwa marafiki
The best way to revenge kama mliachana vibaya basi sev namba yake weka status nyingi sana za kumsifia mwanaume wako kwa vile anatembelea ataziona pia
 
Mm huwa siachani aisee siku sina mpango wwte unampigia tu mnapasha kiporo, ex hatongozwi bana
 
Mhhh,

Utanikosoa kama ntakuwa siko sahihi, ninavyojua mimi mtu akiwa na namba yako ameisave anaweza kuona status zako bila kujali wewe umemsave au hapana.
 
Kwani lengo la kuweka status ni lipi?
 
Ukute wameshare google account. We unafuta mwenzio ana restore namba yake maisha yanaenda muruwa. Utateseka kijinga ww.
Ex muhimu sana kwenye maisha haya
 
Simu huwa inanoyesha Phone contacts tu. Ila sehemu za kukaa contacts ni nyingi. Phone, SIM, gmail account, account ya manufacturer (eg samsung account, huawei account).
Nenda kwa contacts za simu, af hakikisha umeweka show all contacts, itafute halafu ifute. Hapo itakua imetoka sehemu zote na whatsapp haitaiona tena
 
Hivi status huwa zinawatesa kiasi hiki?Ujinga mtupu.Wanaume wazima tuanze kujadili status [emoji15][emoji15]
 
Ex ni kama ccm tu ukipenda yupo usipopenda pia yupo [emoji276]
 
Setting>account>privacy>status>>my contacts except....
 
WANAUME TUNAZIDI KUISHA KWA KASI MNO KWAKWELI.

YANI MWANAUME MZIMA NA STATUS WAPI NA WAPI??????

HUO MDA UNAUTOA WAPI?????

INATIA AIBU MWANAUME KUFANYA MAMBO YA KITOTO NA YA KIKE YA STATUS.

AIBU HII WANA JF.
GREAT THINKERS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…